Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. I WISH THIS PERSON COULD BE MA PRESIDENT....LOL

    ReplyDelete
  2. well done magufuli umenivunja mbavu ile mbaya.unaongea kama massanja wa komedi... nimecheka sina mbavu. narudia kuangalia clip kila wakati.

    ReplyDelete
  3. Gud Job Dr., Merry Christmas and wish you a healthy 2012!

    ReplyDelete
  4. Hivi huyu Magufuli fani yake ni nini? Anajua kweli mambo ya Uhandisi au anaropoka tu? Anaropoka tu halafu wabongo wanamshangilia tu. Haki ya mungu nchi yetu hii? Mungu Ibariki Tanzania!

    ReplyDelete
  5. Magufuli..kwa kweli watanzania wengi wanahitaji wasukumwe ndo wafanye kazi..ukicheka nao hizo barabara haziishi mpaka mwaka kesho!!!Hapo watageuza ndo mradi..Hakuna maendeleo bila kuwa na kiongozai mkali...anaglia Rwanda!!!!!

    ReplyDelete
  6. kuna siku tulikuwa na mjadala na jamaa flani,wengine wanasemaje jamaa anafaa kuwa Rais huku wengine wanasema anafaa zaidi Uwaziri Mkuu.....binafsi nakubali jamaa ni jembe nafikiri tukimpa nyota zote Rais and waziri mkuu kwa pamoja nchi itakaa kwenye mstari!

    Bravo John

    ReplyDelete
  7. wewe mdau wa tatu,wewe fani yako nini???nyinyi ndo wale malumbukeni waropokaji,kwa taarifa yako magufuli ni mhandisi ndo fani yake,sasa wewe acha kuropoka bila msingi wowote,
    mduu UK

    ReplyDelete
  8. nani kakwambia magufuli ni muhandisi...jamaa ni mkemia.

    ReplyDelete
  9. mimi si mwana sihasaila uyu jamaa namkubali sna umeona apo mkandalasi alikuwa anamdanganya bila kujua kuwa yy ypo apo saiti sasa angewatuma wtu wangemletea lipoti nyingine kabisa na ndo mana unahambiwa ww kma kiongozi inatakiwa uwe unafika maeneo husika ili ujionee mwenyewe safiiiii!!snaaaaaaaaaaaaa!! muheshimiwa makufuri

    ReplyDelete
  10. ...Anyway Magufuli si mhandisi,,,ni mwalimu tu wa science na dactari wa kemia,,,ila suala hapa si uhandisi wala nini,,,kiongozi anatakiwa kuwa na utashi na nia ya kuleta mabadiliko ktk sehemu yake ya kazi kama Mh. Magufuli,,,Bravo Dr. piga kazi Mwenyezi Mungu atakulipa! Nani asiyeona....!!!!!

    ReplyDelete
  11. DUH JAMAA ANATAKA KUMPASUA MPAKA WAZIRI WAKE....BIG UP MAGUFUL

    ReplyDelete
  12. Endeleza hapo ndio watanyoka ukileta lelemama basi hakuna kitachofanyika, kumbuka lakini wasije wakakupiga kitu kama kina Sokoine. BE CAREFUL MDAU NORWAY

    ReplyDelete
  13. Nchi yetu inahitaji kina Magufuli kila wizara; watz tumejaa porojo na ubabahishaji zaidi. Huyu anonymous anayetaka kujua fani ya Magufuli ni mfano tosha wa watu wanaopenda kukumbatia ujinga!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...