Ankal
A special X-mass and New Year for gas consumers?
Oryx Tz Limited has sky rocketed the prices for cooking gas starting 10th December 2011 by high margin. This will come a day after the celebration of 50 years of independence. What a shame to comsumers and risk to the increasing demand?. Also, bad news as we celebrate X-mass and new year eve.
Wametoa waraka wa kuongeza bei ya gas kuanzia tarehe 10 December 2011. Ni wakati watanzania tukitafakari kupanda tena kwa gharama za umeme.
Ujumbe ulosambazwa ni kuwa mtungi wa Kilo 15 utapanda kwa Sh 5, na ule wa 6Kg kwa Sh. 3,000. Machungu ya mengine ya maisha. Mara ya mwisho walipandisha mara tu baada ya sikuku ya Iddi. Kwa mwaka itakuwa imepanda mara tatu.
Sababu walizotoa ni kwamba pawepo bei moja Tanzania nzima. Najiuliza kuna usawa gani ki ujamii na kiuchumi kati ya mtu anayeishi Kagera au Mwanza na wa hapa Dar es Salaam??, Mbona bei za mafuta ya petrol na bia za TBL/ SBL nitofauti kijiografia?. Ni lengo la Oryx kusaidia kurekebisha umaskini kijiografia? Au kuongeza ushindani wa kibiashara?. Mbona bei ya samaki/dagaa ni chini Mwanza na Kigoma? Akina mama nchini wanatembea umbali sawa kutafuta kuni? Kwanini Ewura na serikali wasihamasishe kampuni za gesi ya Odinga (Agip) Kenya iwekeze Mwanza na Kagera ambapo gesi itaenda kirahisi kwa meli. Na za Zambia ziwekeze Mbeya/Rukwa.
Waziri wa Fedha na Maliasli walitangaza sera ya kuondoa kodi kwenye gesi ili kupunguza ukataji miti/ misitu. Je wizara husika zimehusishwa?. Kiwango cha uharibifu wa misiti kuzunguka Dar es Salaam na kule Rukwa na Kigoma kinawiana?. Upatikanaji nishati mbadala ni sawa Tanzania nzima. Kwa nini mwenye kipata cha kati amlipie gas tajiri wa Mwanza au Kigoma?
Tanzania, tofauti wa ulaya bei ya nishati hii mmbadala imekuwa ikipandishwa kiholela kila mwaka. Mfano kisingizio cha maharamia Wakisomali wanaoteka meli, kupanda bei kimataifa na sasa kusawazisha bei nchini.
It is high time the concerned parties say no to such unnecessary increase princes (bei zinapaa kila kukicha) in order to serve our forest resource. Observe the existing policies and do the best for our environment. Sera zetu za nishati zisiwe kwenye vitabu bila utekelezaji. Otherwise, the consequences are huge and irreversible. We call upon the responsible authority to put a STOP on this price hiking!
Candid to my country
ANONYMOUS
Hizi ndio athari za kupanda kwa mfumuko wa bei. Kila mtu kwa nafasi yake anajaribu kukabiliana na kupanda gharama za uzalishaji na uendeshaji.
ReplyDeleteMlaji wa mwisho ndio anatakiwa abebe mzigo wote huu, kamwe hakuna mfanyabiashara atayekubali abebe gharama.
Kampumi oryx hilo linaendeshwa kwa mkono wa matajiri wakubwa wanaojiita super dealers,wengi hawa wamepewa hisa za kifisadi.The eheat is coming soon. Lake gas!!
ReplyDeletenunueni tu vitu hata mkiuziwa kwa dolla wacha shilingi nchi ni yenu na viongozi mmewachagua wenyewe sasa mnalalama nini tutoleeni kelele zenu hiyo ndio tanzania mtalia sana na mtaendelea kuwachagua sana
ReplyDeleteKweli nyani haoni KUNDULE, kusingekua na vita Iraq na Afganistani Tanzania ingekua ni nchi ya kwanza kwa kupewa misaaada sasa itakua ni nchi ya kwanza kuwakubali mashoga sababu viongozi wetu waliogeuka wafanyabiashara na mafisadi sasa itabidi wakubali USHOGA ili kupata MISAADA
ReplyDelete............... hivi wenyewe wapo?
ReplyDelete