Benki Kuu ya Tanzania imetoa sarafu ya kumbukumbu kwa ajili ya kuenzi miaka 50 ya UHURU wa Tanzania Bara. Pichani Katibu wa Rais ndugu Mbena akiipokea sarafu hiyo kutoka kwa maafisa wandamizi kutoka Benki Kuu Bibi Zalia Mbeo, Bw. Jovent Rushaka na Bw. Juma Kimwaga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Muwaelimishe wananchi kuwa sarafu hiyo ni ya kawaida,tusije tukasikia kuwa ina madini ya gharama zikaanza kuuzwa kwa millioni moja

    ReplyDelete
  2. jamani eeehhh!!!!
    hajapatikana mtu mwenye mawazo ya kutengeneza noti japo ya TAS 100,000= tu ambayo hata haina thamani ya USD 100???? taaabu kweli kweli!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...