Year of manufacture: 2002
Engine capacity: 3000cc
Chassis number: WBA-FA52010LM49622
Color: Black
Doors: 5
Seating Capacity: 5
Imported from Japan in 2009; Lady driven
SR RS AW TV LS WAB ABS
Other details: Leather Seats, TV, 6 Disc CD Changer, Comfort Electric Seats, Electric Slide Glass Sunroof, Adjustable Steering Wheel, Air Bag, Air-Conditioning (Automatic), Central Door Locking, Electric Windows (Front/Rear), Electric Driver Seat with Memory, Electric External Mirrors, Spare Wheel
Price: $25,000/-
Interested parties call: +255 754 317210
Or email to: tznov@yahoo.com



Hilo gari lipo TZ au Japan?
ReplyDeleteSasa hiyo ''LADY DRIVEN'' inasaidia nini katika uuzaji wa gari?
ReplyDeletejamani umeshaambiwa "IMPORTED FROM JAPAN"
ReplyDeleteweka picha ya hali halisi ya gari kwa sasa
ReplyDeletePICHA ILIYOTUMIKA NI ILE ILE YA 2009 LIKIWA JAPAN, HIVYO HAISAIDII KUJUA HALI HALISI YA HILI GARI KWA WAKATI HUU YAANI MIAKA 3 BAADAE.
ReplyDeleteLADY DRIVEN MAANA YAKE NI KUWA UTAKUTANA NA VIPODOZI NA HARUFU YA CHIPS KUKU!!!
Lady driven ina maana sana kiongozi.Ingawa wanawake wengine(siyo wengi sana,mmoja kwenye mia) wanaandesha magari 'rafu'
ReplyDeleteDavid V
25OOO$ ni kubwa sana ikinichokea ntaamuuzia nani AU niichoka ntaamuuzia nani fanya walau 20000$ SABB ZA KUUZA PIA
ReplyDeletelady driven inaonyesha kuwa gari halikuwa taken care of well.no enough service n.k
ReplyDeleteAkina mama wanaendesha kwa hadhari zaidi kuliko akina baba.
ReplyDeleteNa kwa kawaida huwa halitembei long distance, ni kutoka nyumbani mpaka ofisini na kurudi tu, kwa hivyo kwenye mabonde na shughuli zisizo rasmi huwa haliendi.
Ha ha haaaa usinije kunisuta bure hizo ni fikra zangu tuuuuu!
Kauze South sudan ndio wanaotaka gari kama hizo sio hapa bongo, BMW si nembo ya leo hapa kwetu lakini endelea kutangaza tu labda wanunuzi wapo
ReplyDeleteLADY DRIVEN MAANA YAKE HAIKUTUMIKA IPASAVYO MAANA HUENDESHA BILA YA KUJALI SERVICES WALA KUJUA KAMA OIL NA COOLANT ZIMO NK. WENGI WAO HUENDESHA BILA YA KUJALI GIA HUSIKA NA HUWA NA MATATIZO MENGI BAADAE.
ReplyDeleteSHAURI YAKO FANYA UAMUZI....
Lazima itakua na matatizo, wanawake wengi huaribu magari kwani hujua kunyoosha barabarani tu, hata mafuta ya breki kuweka hawajui!
ReplyDeletekwa lugha ya kibiashara Lady Driven manake ilikuwa chini ya mikono ya mwanamke na kama unavyojua wanawake wanajua kutake care. ni kitu positive au la muuzaji asingekiweka
ReplyDeletemdau ukiambiwa lady driven inamaanisha hii gari iliendeshwa kike kike na si kiume yaani maresi kupanda milima kushuka mabonde kama tunavyoendesha wanaume halisi.
ReplyDeleteLADY DRIVEN kwa BMW hiyo sawa Wadau kwa maoni mbalimbali pia pana mtazamo mmoja huu:
ReplyDeleteWapo watu wanaamini kuwa aina hizi za magari ni kwa wanawake tena kwa rika tofauti:
1-RAV 4 ,kwa akili ya Ma Sister Do na ma Miss.
2-HARRIER kwa madada wenye kazi za maana ambao wapo single.
3-NADIA kwa Vimada wa ma Bosi.
4-RVR kwa Wamama ma Suger mami (kwa kipindi cha miaka ileee waliziita Kitchen party).
Je mtazamo huo una ukweli wowote?
WABONGO NUKSI NA WANGA TU.MNATOA KASORO PESA KAZI KUZIHONGEA. KAMA MNA PESA NUNUENI WANGA NYIE.NDIO MAANA HATUANDELEI.XX
ReplyDeleteWaungwana!sioni haja wala tija ya kufafanua neno Lady driven,ww soma specification zikikuridhisha cheki mfuko wako,then chukua Hatua na ufanye uamuzi.if not click Next or scroll up n down.
ReplyDeleteCha msingi piga picha za sasa na ikiwa full plate nomber
ReplyDeleteThen picha za ndani ya gari pia
Hiyo Lady Driven ni kuijengea mvuto kuwa inajulikana Wanawake ni watu wa madoido sana ,hawapendi kuwekwa nyuma ,wanapenda kijiko sana na wanapenda vitu vizuri.
ReplyDeleteKwa hiyo kitu kuitwa Lady diven ni kuwa kinavutia kwa uzuri!