Model & Type: BMW X5 (4WD); 3.0I Sports PKG; automatic transmission, petrol.
Year of manufacture: 2002
Engine capacity: 3000cc
Chassis number: WBA-FA52010LM49622
Color: Black
Doors: 5
Seating Capacity: 5

Imported from Japan in 2009; Lady driven

SR  RS AW  TV  LS  WAB ABS
Other details: Leather Seats, TV, 6 Disc CD Changer, Comfort Electric Seats, Electric Slide Glass Sunroof, Adjustable Steering Wheel, Air Bag, Air-Conditioning (Automatic), Central Door Locking, Electric Windows (Front/Rear), Electric Driver Seat with Memory, Electric External Mirrors, Spare Wheel
Price: $25,000/-
Interested parties call: +255 754 317210
Or email to: tznov@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Hilo gari lipo TZ au Japan?

    ReplyDelete
  2. Sasa hiyo ''LADY DRIVEN'' inasaidia nini katika uuzaji wa gari?

    ReplyDelete
  3. jamani umeshaambiwa "IMPORTED FROM JAPAN"

    ReplyDelete
  4. weka picha ya hali halisi ya gari kwa sasa

    ReplyDelete
  5. PICHA ILIYOTUMIKA NI ILE ILE YA 2009 LIKIWA JAPAN, HIVYO HAISAIDII KUJUA HALI HALISI YA HILI GARI KWA WAKATI HUU YAANI MIAKA 3 BAADAE.

    LADY DRIVEN MAANA YAKE NI KUWA UTAKUTANA NA VIPODOZI NA HARUFU YA CHIPS KUKU!!!

    ReplyDelete
  6. Lady driven ina maana sana kiongozi.Ingawa wanawake wengine(siyo wengi sana,mmoja kwenye mia) wanaandesha magari 'rafu'

    David V

    ReplyDelete
  7. 25OOO$ ni kubwa sana ikinichokea ntaamuuzia nani AU niichoka ntaamuuzia nani fanya walau 20000$ SABB ZA KUUZA PIA

    ReplyDelete
  8. lady driven inaonyesha kuwa gari halikuwa taken care of well.no enough service n.k

    ReplyDelete
  9. Akina mama wanaendesha kwa hadhari zaidi kuliko akina baba.

    Na kwa kawaida huwa halitembei long distance, ni kutoka nyumbani mpaka ofisini na kurudi tu, kwa hivyo kwenye mabonde na shughuli zisizo rasmi huwa haliendi.

    Ha ha haaaa usinije kunisuta bure hizo ni fikra zangu tuuuuu!

    ReplyDelete
  10. Kauze South sudan ndio wanaotaka gari kama hizo sio hapa bongo, BMW si nembo ya leo hapa kwetu lakini endelea kutangaza tu labda wanunuzi wapo

    ReplyDelete
  11. LADY DRIVEN MAANA YAKE HAIKUTUMIKA IPASAVYO MAANA HUENDESHA BILA YA KUJALI SERVICES WALA KUJUA KAMA OIL NA COOLANT ZIMO NK. WENGI WAO HUENDESHA BILA YA KUJALI GIA HUSIKA NA HUWA NA MATATIZO MENGI BAADAE.

    SHAURI YAKO FANYA UAMUZI....

    ReplyDelete
  12. Lazima itakua na matatizo, wanawake wengi huaribu magari kwani hujua kunyoosha barabarani tu, hata mafuta ya breki kuweka hawajui!

    ReplyDelete
  13. kwa lugha ya kibiashara Lady Driven manake ilikuwa chini ya mikono ya mwanamke na kama unavyojua wanawake wanajua kutake care. ni kitu positive au la muuzaji asingekiweka

    ReplyDelete
  14. mdau ukiambiwa lady driven inamaanisha hii gari iliendeshwa kike kike na si kiume yaani maresi kupanda milima kushuka mabonde kama tunavyoendesha wanaume halisi.

    ReplyDelete
  15. LADY DRIVEN kwa BMW hiyo sawa Wadau kwa maoni mbalimbali pia pana mtazamo mmoja huu:

    Wapo watu wanaamini kuwa aina hizi za magari ni kwa wanawake tena kwa rika tofauti:

    1-RAV 4 ,kwa akili ya Ma Sister Do na ma Miss.

    2-HARRIER kwa madada wenye kazi za maana ambao wapo single.

    3-NADIA kwa Vimada wa ma Bosi.

    4-RVR kwa Wamama ma Suger mami (kwa kipindi cha miaka ileee waliziita Kitchen party).

    Je mtazamo huo una ukweli wowote?

    ReplyDelete
  16. WABONGO NUKSI NA WANGA TU.MNATOA KASORO PESA KAZI KUZIHONGEA. KAMA MNA PESA NUNUENI WANGA NYIE.NDIO MAANA HATUANDELEI.XX

    ReplyDelete
  17. Waungwana!sioni haja wala tija ya kufafanua neno Lady driven,ww soma specification zikikuridhisha cheki mfuko wako,then chukua Hatua na ufanye uamuzi.if not click Next or scroll up n down.

    ReplyDelete
  18. Cha msingi piga picha za sasa na ikiwa full plate nomber
    Then picha za ndani ya gari pia

    ReplyDelete
  19. Hiyo Lady Driven ni kuijengea mvuto kuwa inajulikana Wanawake ni watu wa madoido sana ,hawapendi kuwekwa nyuma ,wanapenda kijiko sana na wanapenda vitu vizuri.

    Kwa hiyo kitu kuitwa Lady diven ni kuwa kinavutia kwa uzuri!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...