Vijana wanaojishughulisha na uendeshaji wa pikipiki za kubeba abiria maarufu kama bodaboda wakiwa wamekaa juu ya pikipiki zao hizo kwenye kituo chao wakisubiria abiria mchana wa leo.usafiri huu umekuwa maarufu sana hapa jijini Dar na maeneo mengine ya nchi kutokana na unafuu wake wa gharama na ufikaji wa haraka sehemu anayokwenda abiria.
Home
Unlabelled
bodaboda kijiweni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Helmet la abiria liko wapi?
ReplyDeleteTIMING BOMU!
ReplyDelete