Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia baada ya ufunguzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) liliopo Mazizini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Makungu wakati alipowasili katika ufunguzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) liliopo Mazizini Unguja.
Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) lililopo Mazizini Unguja lililofungulwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Moh'd Shein ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya kufikia Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa ZRB leo baada ya funguzi wa jengo lao jipya lililopo mazizini Unguja.PICHA ZOTE NA HAMAD HIJA - MAELEZO ZANZIBAR.
Mbona mheshimiwa hapo juu amelala au ndio kusikiliza kwa makini? Kazi kweli kweli?
ReplyDeletelipo wapi hili
ReplyDeletehili ni jengo zuri sana nimelipenda , ni vyema taasisi nyengine zikaiga mfano wa kujenga majengo kama haya. Mapinduzi daima
ReplyDelete