Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia baada ya ufunguzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) liliopo Mazizini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Makungu wakati alipowasili katika ufunguzi wa Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) liliopo Mazizini Unguja.
Jengo la Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) lililopo Mazizini Unguja lililofungulwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Moh'd Shein ikiwa ni sehemu ya Sherehe ya kufikia Miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa ZRB leo baada ya funguzi wa jengo lao jipya lililopo mazizini Unguja.PICHA ZOTE NA HAMAD HIJA - MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona mheshimiwa hapo juu amelala au ndio kusikiliza kwa makini? Kazi kweli kweli?

    ReplyDelete
  2. lipo wapi hili

    ReplyDelete
  3. hili ni jengo zuri sana nimelipenda , ni vyema taasisi nyengine zikaiga mfano wa kujenga majengo kama haya. Mapinduzi daima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...