Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzania Dk. Alberic Kacou,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.(Picha na Ramadhan Othman Ikulu).
Huyu mwakilishi ametoa mpya. Jamani watu wengine sijui tusemeje ni ubinafsi ama nini. Huyu jamaa hana ofisa wa kuchukua notes? mpaka yeye mwenyewe ashikilie yote kuzungumza na kuandika,Anayoyasema yeye ataandikiwa na nani?Na atayakumbuka yote?
ReplyDeleteTanzania kuna watu wa ajabu sana.Huyo mnikulu kazi yake nini?Tiles hadi zinababuka rangi anaangalia tu.aibu tupu
ReplyDeleteUliyetangulia kutoa comments hivyo vigae havijachubuka bali huo weusi na weupe ndio urembo wake.
ReplyDeleteHapo mwakilishi anachukua dondoo mwenyewe ili zisichakachuliwe. Juzi Kule Addis Ban Ki-Moon amewaasa viongozi wa AU kutowanyanyasa wale wenzetu ambao si rizki! na hapo Zenj inasemekana idadi yao si haba!!!
Hapo watakuwa walibaki wenyewe ndani a tet atete hiyo. Tayari Maofisa wao walikuwa nje. Sio kila kitu cha kusema public lakini anaandika kukukumbuka.
ReplyDeleteNdio Rangi zake hizo tokea awali.
ReplyDelete