Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Mecky Sadick akipokea msaada wa hundi ya shilingi milioni 5 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Anselim Peter kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha na Francis Dande).
Home
Unlabelled
GEPF yatoa msaada wa Mil. 5 kwa waathirika wa mafuriko jijini Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mhishimiwa Mkuu wa Mkoa at some point tutaomba mahesabu kamili ya hii misaada yoote hususan ya kipesa unayopokea katika Ofisi yako kwa ajili ya waathirika na maafa pls tusiseme mengi sasa hivi mana Bongo tambarare....mmmmmmh.
ReplyDelete