Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Mecky Sadick akipokea msaada wa hundi ya shilingi milioni 5 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF), Anselim Peter kwa ajili ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha na Francis Dande).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mhishimiwa Mkuu wa Mkoa at some point tutaomba mahesabu kamili ya hii misaada yoote hususan ya kipesa unayopokea katika Ofisi yako kwa ajili ya waathirika na maafa pls tusiseme mengi sasa hivi mana Bongo tambarare....mmmmmmh.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...