Wakazi wa Jiji la Dar maeneo ya Mikocheni A wakiliangalia gari aina ya Toyota Prado iloyokuwa imeingia mtaroni kutokana na kukatisha ikiwa katika mwendo kasi uliompelekea dereva wa gari hilo kushindwa kulikontroo na kujikuta akipata hifadhi ya muda mtaroni.Hii ni sehemu ya faida ya mwendo kasi usiokuwa na maana yeyote kwani ni wehuwatokea mambo ya namna hii.
Home
Unlabelled
madhara ya spidi zisizokuwa na maana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mwacheniiiii si baba yake anayo mengi!! Khaaaa watu bwana kumaindi vitu vidogo!! Mbona ninyi Mkihonga hatuwasemii hivyo!!!
ReplyDeleteMikocheni A is the real mikocheni. Buck Mikocheni B. We are the realist Mikocheni. Big ups Gezaulole, mwembe raha, matanulini, five ways, mtaa wa vyura, kwa mwarabu aka sharp boys, Ambush aka CCM,Mferejini aka mto wa baniani. Home sweet home, I'll be back.
ReplyDeleteulevi nooomaa!@
ReplyDeleteWa mbagala kwenu kuna Prado kama hizo za kutupa ovyo kweny mitalo ya maji? Hilo mni swali tu.
ReplyDeleteMdau mikocheni
Ana bahati sana ilitakiwa hilo gari liwe upside down hiyo mbona haitoshi!
ReplyDeleteWewe Anonymous wa Tue Jan 10, 01:36:00 PM 2012
ReplyDeleteWa Mbagala kwenu kuna prado kama hizo.....
WEWE KWA AKILI YAKO UNAFIKIRI MBAGALA HAKUNA MAGARI???
SASA KWA TAARIFA YAKO KULE WACHA .MAGARI, YAPO ZAIDI YA HIZO PRADO,
1.MAGARI:::
WAPO WATU WANA AUDI, MERCEDES BENZ,RANGE ROVER V8,RANGE ROVER VOGUE, HUMMER 4,WATU WANA MA TOYOTA VX V8, NA MAGARI MENGINE YA MAANA TU!
2.MAJUMBA:::
WATU WANA MAGHOROFA HATA HIZO ZINGINE ZA KWENU MIKOCHENI MBOVU TU.
NENDA MBAGALA SEHEMU HIZI HALAFU UJE UANDIKE KUJIBU COMMENTS ZANGU:
(i)-MBAGALA MGENI NANI
(ii)-MBAGALA MIHANDE
(iii)-MBAGALA / KIJICHI
(iv)-MBAGALA MAJI MATITU
(v)-MBAGALA TUA NGOMA
(Vi)-KIJIJI CHA NSSF
(vii)-KWA MANJI (PANA KIJIJI CHA MAHEKALU)
KWANZA MJI WENU UNASHUKA SASA ,ANGALIA MITARO MINGI IMEJAA NA NI PACHAFU!!!
3.BARABARA::::
YA KWENU NI (OLD BAGAMOYO ROAD) NJIA MOJA TENA SASA NDIO INAZIBWA VIRAKA NA MPANGO WA NJIA MPYA KUBWA HAKUNA KWA SASA.
WAKATI MBAGALA KUNA (DOULBE ROAD) MKEKA NA SASA INAENDELEZWA HADI KONGOWE.
sema tu kuwa Mikocheni imeanza kujengwa zamani na sio kingine!
UNATAKA KUSEMA NINI?,,,TATIZO MNASHINDA KWENU MITARONI HUKO MIKOCEHNI HAMTEMBEI HALAFU MNATOA MAONI YA DHARAU!!! OHHH MBAGALA HAKUNA HIKI , OHHH MBAGALA HAKUNA HIKI!!!
We wa mbagala kwenu kuna prado....
ReplyDeleteMbagala inapata taswira mbaya kulingana na Historia yake huko ilikotoka, ni vile watu wengi wana ile tabia ya kimapokeo tu mfano Ohhh Mbagala kila nyumba jalala kitu ambacho sio kweli, Mbagala ni safi tu,,,pana sehemu zingine ni chafu sana Mfano Keko,Tandale,Buguruni, Kigogo na Mburahati,,,lakini sasa Mbagala mambo yamebadilika saaana!
Kwa taarifa yako Wajanja sasa hivi wanaishi Mbagala, najua watangáka lakini natoa hoja za utetezi wa kauli hiyo:
HOJA:
1.Usafiri na Foleni:
Tokea barabara ikamilike tarehe 13 Machi 2009 safari ya Mbagala kwenda na kurudi Jijini ni dakika 20 tu. kitu ambacho sehemu zingine kama Kimara, Mbezi Mwisho,Mbezi Beach,Tabata,Ukonga na Njia ya Uwanja wa Ndege, bahati hiyo hawana!
2.Gharama ya maisha:
Ipo chini sana kwa chakula, na makazi pia nyumba zenye viwango vya kuridhisha zipo za kila daraja la maisha kulingana na muhitaji.
3.Maji safi na maji taka:
Maji yapo pana sehemu zingine wasambazaji Binafsi wamefunga pampu na maji ya bomba yanapatikana.
Pia hakuna mifereji na tabia ya watu kutapisha vyoo kwa vile watu wamechimba vyoo vya kudumu na pia ardhi ni ya mchanga sio udongo hivyo maji yanazama chini.
4.Usalama:
Idara ya Polisi inafanya kazi ya ziada katika ulinzi na usalama ndani ya Mbagala licha ya idadi kubwa ya wakazi kiwango cha uhalifu kipo chini saana kulinganisha na vitongoji vingine vya Jiji la Dar.
5.Tabia ya Jamii:
Mbagala inafaidika na utulivu wa jamii kwa vile ''Maisha ya usiku'' kwa idadi ya Mabaa na Vilabu vya usiku ni ndogo kulinganisha na maeneo mengine, kama Magomeni,Kinondoni,Sinza,Mikocheni,Tabata na Kimara.
KWA HOJA HIZO 5 NADHANI ATAKAE JIBU MAONI HAYA NAE ATOE MIFANO HALISI NA HOJA!
We unaeidharau Mbagala
ReplyDeleteAnonymous Tue Jan 10, 01:36:00 PM 2012
KWA TAARIFA YAKO MRADI WA DARAJA LA NSSF LA KIGAMBONI NDIO UTAIUNGANISHA MBAGALA NA KIGAMBONI NA PARADISO ZITAKAZOJENGWA NA MABILIONEA WA DUNIA WA MAREKANI, GEORGE BUSH ,HILTON HOTEL,HYATT REGENCY NA WENGINE KIBAO NDIO ZITAIFANYA MBAGALA NDANI YA MIAKA MICHACHE ITAKUWA JUU ZAIDI YA MIKOCHENI!
WAPO WATAKAOBISHA KUWA KIGAMBONI SIO MBAGALA (HAWA NI WAJINGA SANA)
JE? MNAMFAHAMU TENA MDAU MWENZETU MKUBWA MHE. Dr.FAUSTINE NDUGULILE?
SASA YEYE NI MBUNGE WA KIGAMBONI AMBAYO UTAWALA WAKE NI MPAKA MBAGALA!
NINYI MAFUNGIWA NDANI HIKO KWENU MIKOCHENI NYUMBA ZIMEZUNGUKWA NA MITARO ILIYOZIBUKA ,HAMSOMI HAMFUATILII MAMBO YANAYOJIRI SIKU HADI SIKU, HALAFU MNATOA MAONI YA DHARAU!
WEWE ANGALIA MABILIONI YAKITOLEWA NA WAZUNGU WENYE NAZO MAMBO HAYAWEZI KUWA MAMBO?
SASA BAADA YA MIRADI HIYO KAMA BADO UTAKUWA HAI UJE UANDIKE MAONI YAKO HUMU KWENYE BLOGU YA JAMII!
DAR LIVE....!!!!
ReplyDeleteDavid V
Pande za Kaskazini mpaka kwenye vitabu vya dini zimebarikiwa kuliko Kusini, taka usitake; tulikumbuke hilo.
ReplyDeleteMbagala kwa sasa ni sehemu nzuri lakini kwa jinsi tunavyozidi kuendelea patakuja haribika kama maeneo ya sinza na chakula na makazi vyote vitakwenda juu kwa mwananchi wa kawaida kuweza kumudu, na hasa ukizingatia Serikali yetu haipo tayari kutetea wanyonge zaidi ni kujinufaisha yenyewe. Wenye nazo tu ndio watakao faidika na mpasuko wa wenye uwezo na wasio na uwezo unazidi kuwa mkubwa.
Tutafakari na kuzidi kumwomba Mungu aangaze neema yake kwa kila mmoja wetu.
Ok
ReplyDelete