Home
Unlabelled
Magufulli akizungumzia mradi wa ujenzi wa daraja la kigamboni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
safi sana tunahitaji viongozi kama magufuli na sio wale wanaoficha makucha
ReplyDeleteKuna haja pia ya kuhamasisha waajiri, hasa wa makampuni makubwa, kuwaruhusu wafanyakazi wao wafanyie kazi majumbani (wakishirikiana na serikali wawapatie vitendea kazi muhimu kwa ajili hiyo). Wenzetu (mfano Ontario, Calgary na Edmonton huko Canada, Florida,Australia, na sehemu kadhaa Uingereza wanaendesha miradi ya namna hii na wamepata mafanikio makubwa sana yakiwemo kupunguza msongamano, kuwapunguzia uchovu na msongo wafanyakazi, kupunguza ajali, kuwasaidia wafanyakazi wao/makampuni kupunguza matumizi katika mafuta, na kupunguza uzalishaji wa CO2 kwa kiasi kikubwa sana. Miji mingi wanajifunza kutoka kwa walifanikiwa na wanatumia mbinu hii pia. Dar es Salaam inahitaji mbinu mbali mbali kwa wakati mmoja kutokana na hali iliyofikia.
ReplyDeleteMh Magufuli na serikali yako na Watanzania wote, hongereni sana kwa mradi huu bab'kubwa.
ReplyDeleteMingine uliyoitaja inavutia sana pia, tungependa itekelezwe haraka sana.
Lakini mheshimiwa, kuna haja ya kulisambaza zaidi jiji la Dar ili watu wasilazimike kwenda mjini kukidhi mahitaji yao, hasa ya kiofisi. Hata tukiweka njia tofauti za kuingia Dar kutoka mikoani, wote hao wanaletwa na shughuli ambazo kwa asilimia kubwa hufanyika katikati ya jiji.
Pia ni wakati muhimu sasa kwa makampuni na mashirika mbalimbali, na hasa taasisi za serikali, kufanikisha upatikanaji wa huduma kwa njia ya Internet. Nina ulazima gani kutoka Mbezi au Mbagala na kwenda hadi Wizara ya Ardhi kuulizia kama hati yangu ya umiliki wa kiwanja ipo tayari? Au kwenda Uhamiaji siku ya tarehe ya kuchukua passport yangu na kuambiwa nirudi kesho yake? Tubadilike, serikali ituongoze katika hili jamani. Hata huduma za simu ziongezwe kukidhi mahitaji ya namna hii.
Jengeni freeway/highway za kweli sio hivo vi 2 au 3 lane baada ya miaka mitano vitakua havikidhi mahitaji..... Someni article ya last week ya jenerali ulimwengu kwenye eastafrican.co.ke mtaona jinsi addis ababa wanavyojenga mji wao... Barabara zao Kama za ulaya au marekani hii kitu inawezekana kwa sababu hela tunayo..... Sio kidaraja cha kilometer 2 halafu tunapiga keeleelee. Hongera serikali kwa hili lakini kazeni msuli tunataka vitu vizuri zaidi ya hivi. Ahsanten.
ReplyDeleteI like this, and very encouraging, na ni kweli bila kujali siasa na vyama vyake, 'Asiyefanya kazi na Asile!, Mungu ibariki Tanzania, mungu ibariki miradi yote iliyotajwa kwa ajiri ya taifa letu la sasa na la kizazi kijacho, AMEN.
ReplyDeleteAwesome speech. Congrats Magufuli for the project!
ReplyDeleteuyu mzee kma alivyosema kuwa umefikia wakati wakumpongeza co tungoje mtu kafa ndo tumsifie uyu jamaa anafanya kazi sna ata kma ana makosa basi ni ya kibinadamu mimi nampenda mtu anaekula uku anawajali wezie si anajiangalia yy tu kma wafanyavyo viongozi wengine,kwanza anaeleza jambo ata sisi tusiehenda shule tunamuelewa vizuri sna
ReplyDeleteKatika hotuba ya mheshimiwa Magufuli amesistiza kuacha siasa, lakini ni siasa hizohizo za sisiemu kabla ya uchaguzi wa 2010 kwamba daraja litakua limekamilika kabla ya ngwe ya pili ya kikwete. Mpaka hata kwenye mtandao wa mkandarasi wilikua wameandika kua daraja limekamilika. Nakaona isiwe taabu nikawatwangia email ifuatayo:
ReplyDeleteFrom: xxxxxxx [mailto:xxxxxx.com]
Sent: Wednesday, April 21, 2010 10:07 AM
To: info@ace-consultants.com
Subject: Kigamboni Bridge
Dear Sir/Madam,
I/we came across this news on your website regarding kigamboni bridge claming that the bridge has already be constructed. See link below:
http://www.ace-consultants.com/transportation-bridges-kigamboni.htm
We know that this is not true and we would like you to take measures to re-word the article so as not give an impression that the bridge has already been constructed. We look forward to your co-operation.
Kind regards,
xxxxxxxx
Na majibu yao kama ifwatavyo:
Dear Sir,
Thanks for the e-mail and your observation. We would like to note that:
ACE has already conducted the services of "Feasibility Studies and Design” for the “Kigamboni Bridge” project during the period from 2005 to early 2007. The client is the "National Social Security Fund of Tanzania". The required awarded services was completed and the project was closed for ACE since early 2007. Rufiji Bridge is also another project in Tanzania for which ACE provided its services.
The observed wording mistake - which is basically a result of our website developer getting confused between the information and services provided for both of ACE's projects - has been taken care of and corrected.
Regards,
ACE IT Department
ACE Consulting Engineers
Moharram.Bakhoum
http://www.ace-consultants.com
Tuombe tu kwamba this time watalijenga maana siasa ni nyingi na magufuli analifahamu hilo kwa hiyo aache kuongelea 'kuachana na siasa' wakati nae ni mtaalamu!
Mdau Geneva.
kama mawaziri wote wangefanya kazi kama magufuli basi tanzania ingekua mbali sana
ReplyDeleteSpeech nzuri, nimeipenda lakini serikali inabidi izangatie sana suala la safety (usalama na uimara wa hilo daraja). Daraja la kujengwa mwaka mmoja na nusu kwa mtazamo wangu si muda mrefu sana sembuse kama wakandarasi wakiharakishwa sana. Hata hao China waliotumiwa kama mfano, wanamatatizo sana ya usalama/uimara kwenye "major infrastructures" zao. Kwa hivyo ningeomba serikali wazingatie sana hili suala. Naomba kuwasilisha.
ReplyDelete