
2. Kocha bora wa timu za Wanaume ni Pep Guardiola wa Barcelona
3. Chama kilichoshinda tuzo ya Fifa pair play Award ni Chama cha Soka cha Japan
4. Mfungaji wa Magoli bora duniani aliyebeba tuzo ya FIFA Puskas Awards ni
Neimar
5. Tuzo ya mcheza kandanda bora wa wa kike wa FIFA duniani ni Iomare Sawa wa Japan
6. Mshindi wa Mchezaji Bora wa FIFA 2011 Lionel Messi wa Argentina - ikiwa ni mara ya tatu mfululizo
MESSI namkubali anastahili maana kwa sasa hakuna wa kumfananaisha naye huyo Left handed mwenzangu!
ReplyDeleteMbona husemi Babu Alex naye alipata tuzo?
ReplyDeleteAnony hapo juu, si unajua michuzi anashabikia Looserpool
ReplyDeleteUnazi tu, Alex Ferguson recipient wa Presidential Award.
ReplyDeleteWayne Rooney na Nemanja Vidic ni mojawapo ya wachezaji pekee wa Fifa XI ambao wanatoka Manchester United, na wengine wote ni kutoka Barca na Real Madrid.
Kaka Michuzi, mbona habari ya hapo chini kuhusu kuuzwa kwa Plots/Farms haina sehemu ya maoni? siamini kama umesahau ila unaogopa maoni.Tafadhari usikwapue uhuru wetu wa kuchangia "hoja" kila baada ya issue unayotowekea.
ReplyDeleteNasikia Athuman machupa alikuwa wa pili
ReplyDeleteKaka michuzi mbona kibabu Feggy hukutoa tuzo yake? au mpaka apate Kenny wa Bwawa la maini? acha hizo kaka yaani chongo kwa mnyamwezi lakini ikiwa kwa mzaramu kazi ya Mungu, duh! hii kiboko
ReplyDelete