Mkurugenzi Mtendaji wa Suma JKT,Kanali Ayoub Mwakang'ata (kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo kabla ya kumkabidhi funguo ya Trekta Diwani wa Kata ya Kondoa Mkoa wa Dodoma, Hamza Mafita,(katikati) na Kushoto ni Mkuu wa Mradi wa Suma,Kanali Felix Samillan.
Mkurugenzi Mtendaji wa Suma JKT,Kanali Ayoub Mwakang'ata (kulia) alizungumza na waandishi (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo na baadae alimkabidhi funguo ya Trekta Diwani wa Kata ya Kondoa Mkoa wa Dodoma, Hamza Mafita,(katikati) na Kushoto ni Mkuu wa Mradi Suma,Kanali Felix Samillan.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ooooh, ni furaha kubwa sasa kwa wakulima wa Ki-Tanzania, pale unapoona serikali inapambana kuwapa vifaa vyenye ubora na za kisasa kabisa.
    hawa sumajkt wanastahili pongezi kwa kweli,
    Maana nimewaona hao MaBOSS wao leo Asubuhi kwenye kipindi cha TBC1 wakionglea kupunguza bei zao zaidi na zaidi.
    Safi sana, na kwa hili naiunga mkona serikali Though kila siku hua tunalalamika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...