NAIBU BALOZI MH KILUMANGA AKIWA NA WAKURUGENZI WA SERENGETI KWENYE KARAKANA ZAO ZA KUKAGULIA MAGARI.
MHESHIMIWA NAIBU BALOZI MH CHABAKA KILUMANGA PAMOJA NA MKEWE WAKIKAGUA KAZI ZA KUKAGUA MAGARI KATIKA KARAKANA YA WAZEE WA KAZI WALIPOFIKA OFISINI HAPO KULETA MICHANGO YA KUSAIDIA WALIOPATA MAFURIKO
MHESHIMIWA NAIBU BALOZI PAMOJA NA MKEWE NAO WALIFIKA OFISINI KULETA MICHANGO YA KUSAIDIA WALIOPATA MAFURIKO


Mke wa Balozi anatakiwa afae nguo za heshima ya KiTZ.
ReplyDeletemie nimemuona mke wa naibu balozi tu haluuuuuuuuuuuuuuuuu si mchezo lol
ReplyDeleteUjumbe ni mzuri lakini kwa mtu ambaye anusoma anashindwa kuelewa Karakana ya Wazee iko wapi na inafanya nini. Aidha ziara ya Naibu Balozi hapo ina uhusiano gani na uchangiaji kwa waliopata mafuriko? Ifude
ReplyDeleteWapo Uingereza na ni Company ya kusafirisha mizigo inaitwa - Serengeti Freight Forwarders'
DeleteAnnon wa 3, hiyo karakana ya wazee ndio inayosafirisha misaada iliyotolewa na Watanzania waishio UK kwa wahanga waliopatwa na mafuriko bure bila kutoza gharama za usafirishaji. Hivyo ziara ya Naibu Balozi ilikuwa ni muhimu.
ReplyDeleteMichuzi blog na promotion za wanaoitwa wazee wa kazi sasa zimezidi na kupitiliza mpaka zinatia kichefuchefu. Kama huduma zao ni mzuri kwanini wajitangaze sana? watulie na kupiga kazi wateja ndio watawatangaza kwa huduma zao.
ReplyDeletebalozi na nkewe wanauza sura tu hao!
ReplyDeleteWazee wa kazi NI KAMPUNI YA KUSAFIRISHA MIZIGO NCHI MBALIMBALI inaitwa SERENGETI ambayo iko uingereza na NI maarufu sana kwa huduma na bei poa sana
ReplyDeleteanatembelea au anaenda kupakia magari yake na kuwatumia magari wajomba na shangazi kwa njia rahisi isiyo na ushuru. bongo nchi ya wenyewe na nyie walalahoi mtakula mawe mwaka huu
ReplyDeleteSWALI LA KWANZA, HIYO MIZIGO ITAWASILI LINI,
ReplyDeleteSWALI LA PILI, WEYE ULIYOTOA ONI LA KWANZA, UMENYAKA HIYO SEHEMU WALIYOTEMBELEA MHESHIMIWA NA MKEWE? ULITAKA AVAE VITENGE AU KANGA. NDIO NGUO ZA HESHIMA YA KITZ?
ACHENI USHAMBA JAMANI, AU NI WIVU TUU? KWAMAANA KILA SEHEMU INA MAVAZI YAKE NA MUME NA MKE HAPO WAMEVAA MAVAZI YANAYOENDANA NA ZIARA HIYO.
NAUNGA MKONO MDAU MTOA MAONI WA PILI, HUYU MKE MREMBO HASWAAAAAAAA ANALIPAAAAAAAAAAAA
Mke wa Naibu Balozi ajaribu kuirusha taswira ya Tanzania vema huko Ughaibuni, asiwe kama Miss au Michelle Obama!
ReplyDeleteanony wa 02:22 hapo juu nadhani wewe bado hujafika UK, nilikuwa nataka kukueleza ya kwamba, kuna nchi nyingine kutokana na hali ya hewa huwezi kuvaa mavazi kama unayoyataka wewe kila wakati. kama sasa ni kipindi cha baridi na nguo inayofaa ni jinsi. Kwanza mbona huyu mke wa muheshimiwa amevaa mavazi ya heshima kabisa!!! au unafikiri jeans sio kwa ajiri ya wanawake???. grow up people
ReplyDeleteHIVI KUMBE NAIBU BALOZI WETU KASHAOA? LINI MBONA MICHUZI HAUKUTOA HIYO
ReplyDeleteMI NAJUA ALIKUWA BACHELOR, KUMBE KASHAONDOKA KWENYE UBCHALOR. NIPE 5
ANONY WA 13:56 UMENENA HASWAAAAAAAAA, MI NAWASHANGAA WATU WENGINE BWANA WALULUGA KWELI NAONA KANA KWAMBA HUYO MTU HAJAFIKA ULAYA KUSEMA MKEWE MHESHIMIWA KILUMANGA ATAKIWA AVAE NGUO ZA HESHIMA, NDIO NIKAULIZA ALITAKA AVAE KITENGE NA AU KANGA?
ReplyDeleteHALI YA HEWA INAJULIKANA LA PILI KWELI KASUMBA HII WANAONA JEANS SI VAZI LA HESHIMA KWA WANAWAKE? MANAKE MNGESEMA BASI MHESHIMIWA NAYE AVAE FULL SUTI, SI MNAONA NAYE KAVAA JEANS? KAMA UNA YAKO MENGINE SEMA TUU, NAHISI NI KATI YA WANAWAKE WALOPIGWA CHINI NA MHESHIMIWA , SASA KAPATA MKE ANALIPAAAAAAAAAAAA, NA MWENYE HADHI YA KUPELEKWA SEHEM NA KUONYESHWA HADHARANI MNATAKA KUMPUT DOWN, ACHENI KUTENDA UBAYA KWA WAOWATENDEA UBAYA.
NA TUGANGE YA SERENGETI FREIGHT COMPANY, WAZEE WA KAZI KUWAPONGEZA KWA WEMA WAO NA MOLA AZIDI KUWAONGEZEA MARA DUFU.
kwa taarifa yenu bado hawajaoana ndio maana hamjaona picha, ila siwalaumu kudhania kuwa wameoana kwani wamekua kumbi kumbi as if ndo wanaanza mapenzi, sehemu nyingine nadhani Irene ungetulia tu nyumbani umwache mheshimiwa ashughulike na hadhi ya position yake imekua too much sasa! usiwe na hofu amekuvisha pete and he will never leave you, he is a gentleman
ReplyDeleteNi wazi kabisa wewe ni mwanamke na unawafahamu hawa wapendanao, wewe ni wazi mwenye jazba kubwa na wivu.
DeleteNapenda kukufahamisha kwamba mimi nimeolewa na jamaa WA serikalini na inapaswa kila anapoenda ni ziara au hafla mbalimbali nimpe company.
Wote ndio hivyo sasa unavyoongea pumba hapa ka vile Huns elimu unajiaibisha. Ni bora hukuweka jina lako dada,
Ofcourse Mheshimiwa ni gentleman na amechagua mwanamke presentable kwa kila fani, acheni maneno maana hapa topic imehamia Kwao badala ya kuongelea ya mafuriko aaaaah, wabongo ndio maana hatuendelei jamani
Jamani ni Winta Ughaibuni acheni ushamba na wivu. Kanga na Kitengi hakivaliki mwee. Hata hivyo, mwacheni mtoto wa watu. Tatufuteni maoni ya maana na yanye mwelekeo.
ReplyDeleteSerengeti HONGERENI SANA POLENI NA KAZI. TUKO PAMOJA !
MTANZANIA HALISI
Jamani mbona mnapenda kuchafulia wenzenu, Nataka kumpa hongera Naibu Balozi Kilumanga kwa kuwaunga mkono watanzania wenzetu katika biashara zao, na kuwapa moyo waendelee kufanikiwa. Hawa wazee wa kazi SERENGETI ni mfano mzuri sana kwa watanzania wengi. wacheni kupiga midomo na wivu. Bi Irene na Naibu Balozi endeleni na moyo huo huo. Tunawatakia kila la kheri. Jamani acheni wivu, na nyie mnaokosoa, mjitahidi kufungua biashara zenu, mtapata support ya Ubalozi. Kila la kheri na 2012.
ReplyDeleteKWELI USHAMBA MZIGO, SASA VITENGE NA BARIDI KALI LA UK WAPI NA WAPI. WEWE ANON SI UMWAMBIE MKEO AVAE HIVYO VITENGE AKAPIGE PICHA NA YEYE. UTAMPANGIAJE MTU MAISHA BWANA ACHENI UJINGA. NA NYIE MNAOWASEMA VIBAYA SERENGETI MBONA HATUONI MICHANGO YENU KWA WAHANGA. MNAPIGA DOMO TUUUUUUUUU HATA SHILINGI MOJA HAMTOI, WIVU TUU
ReplyDeleteNampongeza Naibu Balozi wetu na Bi.Irene kwa kuwaonga mkono wafanya biashara Uingereza. Watanzania tuache chokochoko tuungane na katika kujenga taifa letu.
ReplyDeleteAsante
Nampongeza Naibu Balozi wetu na Bi.Irene kwa kuwaonga mkono wafanya biashara Uingereza. Watanzania tuache chokochoko tuungane na katika kujenga taifa letu.
ReplyDeleteAsante
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHHAHAHAHAHAHAHHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHHAHAHAHAHAHAHA
ReplyDeleteUWIIIIII!!KICHEKO!!!!!HAHAHAHAHAHAHAH
Cheka sana tuu utaishia hivyo kwenye kiti
DeleteWAZEE WA KAZI
ReplyDeleteDUH! KAAZI KWELI KWELI.
ReplyDeleteMIE NADHANI HAWA WANAWAKE WENGINE WALITAKA JAMAA ATOKE PEKE YAKE WAMDAKE MANAKE SIKU HIZI WANAUME WA MAANA WACHACHE SANA ASILIMIA KUBWA NI MESHENI TAUN TU.