Hili ni moja ya shimozz la chemba katika mtaa wa Congo,Kariakoo jijini Dar ambalo mfuniko wake kwa namna moja ama nyingine waweza kuwa uliibiwa au ulichoka kupita kiasi na kutumbukia humo shimoni,jambo ambalo linaweza sababisha hatari kwa watu watembeao kwa miguu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Sasa hivi kuna wizi wa mifuniko ya chemba mji mzima. Jzi bila kutegemea nililiingia na kupoteza tairi. Mamlaka husika walifanyie kaz

    ReplyDelete
  2. Asante mkuu,'shimo' tumeliona,shimo limetulia kweli si mchezo.

    David V

    ReplyDelete
  3. Mmmmhh bongo kweli tambarare.
    Hilo shimo si linaweza kusababisha mtu akapata kilema cha Maisha au hata Kifo.

    Na mtu akipata Injury kutokana na hilo shimo anaweza asilipwe hata Fidia na Jiji.

    Lakini kwa hapa Uingereza ni vigumu sana kuona vitu kama hivyo.

    Maana endapo mtu akipata maafa kutokana na uzembe wa serikali ya jiji,hiyo fidia atakayolipwa si mchezo.

    Ndio maana wenzetu ni waangalifu sana.

    ReplyDelete
  4. Kitu kidogo jiji inashindwa kuweka?Halafu january makamba anataka kuwabana watu wenye nyumba zao ili serikali ipate mradi wakula tena haya madogo yanawashinda!

    ReplyDelete
  5. Tehe teh tee te!

    Misupu we mjanja sana.
    Asante Kaka, tumeliona hilo "Shimo"
    Sijui kama wenzangu nao wameliona!?!

    Tehe teh tee". Nia yako ilikuwa kutuonyesha shimo kweli!....

    Tehe teh tee te!

    ReplyDelete
  6. Michuzi, mda mwingine mkileta picha za kariakoo plz "wapita njia" wasiingizwe kwenye picha, mnatuumiza tusio na roho za uvumilivu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...