Ilikuwa masaa, siku mpaka leo hii umetimiza siku arobaini toka ulipotutoka mpendwa wetu David Gerald Wakati.
Familia inapenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wote walioshiriki katika kumuuguza na baadaye kwenye msiba wa mpendwa wetu aliyefariki tarehe 1/12/2011 katika hospitali ya Regency na kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni tarehe 04/12/2011.
Misa ya kumuombea marehemu David Gerald Wakati itafanyika siku ya Jumamosi tarehe 14/01/2012, Saa 1 asubuhi katika Kanisa Kuu la Kristo Mfalme, Mkunazini Zanzibar.
Nyote mnakaribishwa,
Bwana alitoa Bwana ametwaa,
Jina la Bwana lihimidiwe.
Amen.
RIP Mr. D.G Wakati
ReplyDeleteRest in Peace (The legend)
ReplyDelete