Ilikuwa masaa, siku mpaka leo hii umetimiza siku arobaini toka ulipotutoka mpendwa wetu David Gerald Wakati.

Familia inapenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wote walioshiriki katika kumuuguza na baadaye kwenye msiba wa mpendwa wetu aliyefariki tarehe 1/12/2011 katika hospitali ya Regency na kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni tarehe 04/12/2011.

Misa ya kumuombea marehemu David Gerald Wakati itafanyika siku ya Jumamosi tarehe 14/01/2012, Saa 1 asubuhi  katika Kanisa Kuu la Kristo Mfalme, Mkunazini Zanzibar.
Nyote mnakaribishwa,
Bwana alitoa Bwana ametwaa, 
Jina la Bwana lihimidiwe.
                                                 Amen.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...