Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (kulia) akiwahutubia wakazi wa Tarafa ya Bugando,Jijini Mwanza wakati alipofika kwa ajili ya kutoa msaada wa Baiskeli za Walemavu waliopo kwenye Tarafa hiyo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata akisaidia kumuweka sawa mmoja wa walemavu waliopewa baiskeli hizo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (kulia) akizungumza na mmoja wa wazee wa Tarafa hiyo ya Bugando mara baada ya kutoa msaada wa Baiskeli za Walemavu.
Sehemu ya Walemavu waliopewa Baiskeli hizo kutoka kwa Taasisi ya Victoria Foundation wakiwa wamekaa kwenye Baiskeli hizo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. NAWAUNGA MKONO VICTORIA FOUNDATION KWA HATUA MUHIMU MUNAYOPIGA,NI MFANO UNAOTAKIWA KUIGWA.
    ILA BADO SIJAJUA KWA NINI MUMEPREFEER VITI VYA PLASTIC BADALA YA CHUMA,NINAHISI KUWA UMIHILI WAKE KATIKA DHORUBA UTAKUWA NI MDOGO SANA,NATUMAINI HILO MULILIFIKIRIA PIA.
    THANK YOU

    ReplyDelete
  2. Baada ya kutimuliwa madaktari 229 waliokuwa wakifanya mazoezi ya vitendo kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), hospitali hiyo imewaleta madaktari wapya kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kuziba nafasi zao.

    ReplyDelete
  3. Bado sielewi kwanini inaitwa victoria foundation. Nategemea ni foundation yetu wenyewe na siyo ya "wawekezaji". Ipo haja ya vitu vizuri kuviita majina yetu wenyewe, na siyo lazima majina ya wahalifu wa kale.

    nimeipenda picha ya tatu kutoka juu, "body language" ya mwanadada inaonysha kuweka mpaka ambao babu anaonekana anataka kuuvuka.

    ReplyDelete
  4. Mdau kwa majina hapo bado tuko mbali. Mwenye pesa yake lazima akuchagulie jina. Ili kina Mkwawa, Kinjekitile, Milambo, Mandala, Karume nk waonekane hawana thamani.

    ReplyDelete
  5. Nyie mnaoulizia jina, nafikiri Vicky ya Vicky Kamata, kirefu chake ni Victoria ndio maana Victoria Foundation

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...