JAMANI TANESCO TEMEKE KITENGO CHA DHARULA!

 MIMI NIMEPIGA SIMU TOKA MWAKA JANA 2011 TAREHE 28.12 KUWA UMEME HAUNGII KUTOKA KWENYE NGUZO KWENDA KATIKA MASINE LUKU LAKINI CHA AJABU MPAKA SASA HAWAJAFIKA NA KILA SIKU WANASEMA WAPO TEMEKE WATAKUJA MANA MIMI NAKAA MBAGALA!

INACHOSHA KWA KWELI  NIMELALA MKESHA WA 2011 GIZA NA JUZI NIMEKOMBEWA FLAT TV AINA YA PANASONIC INCHI 32,SIMU 4,PESA NA BAADHI YA VITU NDANI!HIYO WAMEKUJA NA KUKOSA UMEME IMECHANGIA INGAWA HATA UNGEKUWEPO NINGEIBIWA ILA KAMA BINADAMU LAZIMA NIWALALAMIKIE TANESCO KWASABABU NA GIZA LINACHANGIA!

KESHO YAKE NILIENDA TENA OFISINI KWAO KURASINI  NIKAMKUTA DADA MMOJA PALE DHARURA AKAMPIGIA SIMU HUYO FUNDI AKADAI YUPO MBAGALA KONA BAR KIBURUGWA NA AKAWA ANARIPOTI TRANSFONA KATIKA RADIO CALL YAO KUWA NYAYA SIJUI IMEZIDIWA KAMA SIKOSEI ILA ATAKUMBUKA MANA ALINOTI KTK KITABU CHAO CHA KUSHANGAZA  NJIA HIYO NI HIYO  HIYO  YA KURUDI KWAO OFISINI CHA AJABU MPAKA SASA HAWAJAFIKA BADO NINA KIZA  MARA UWAKE INAKUWA NI BAHATI KIPINDI KINGINE UNAKUJA NA KUZIMA!KWASABABU UMEME NI HATARI KWASABABU KUNA KIPINDI UNAWAKA NA KUNA KIPINDI UNAJIZIMA WENYEWE TENA UNAOGOPESHA MPAKA NINA ZIMA MAIN SWITCH! NAOGOPA JAMANI TANESCO MNATUKWAZA!

TENA MICHUZI NAPENDA UIWEKE HII HAPO JUU NAOMBA SANA TU  IRUSHE LABDA BOSS WA TANESCO ATAISOMA NITAPATA MSAADA! VITU VINAMALIZIKA NDANI KWANGU HATA JANA WAMENIIBIA TENA!

WEZI WANANISUMBUA SANA KISA UMEME!
Mdau TMK!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Pole sana kaka au dada mdau jee huone biashara ya majenereta imezidi? jee hujui kama juzi tu Tz ilitumia bilioni kwa ajili ya gharama ya sherehe za miaka 50 ya Uhuru? (upupu) ambao unawasha kwa walalahoi wenye fedha hauwafikii aibu, aibu, aibu hata kusema kama nchi yangu ni Tanzania miaka 50 bado matibabu =0, umeme= 0, barabara=0, mawaziri= 100, rushwa=0, safari za ughaibuni=100 muache fundi Tanesco alale apate 100.

    ReplyDelete
  2. TANESCO ni wanyama ndani ya muonekano wa umbile la kibinadamu. Hivyo acheni kudanganyika.

    ReplyDelete
  3. Angetokea muwekezaji afungue kampuni binafsi ya umeme kama wenzetu wa nchi za nje wanakuwa na makampuni mengi unafanya kuchagua tu unataka huduma ya nani kama vile unavyochagua kampuni ya simu. Huo ndio ungekuwa mwisho wa Tanesco.

    ReplyDelete
  4. WAKATI TUKISUBIRI MUWEKEZAJI NASISI TUANZE KUHUJUMU TANESCO SAWA NA WANVYOTUHUJUMU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...