Habari Ankali!


Im Mussa Abbasi, energy officer working with the Ministry of Energy and Minerals.


Im also a coordinating officer for Energy and Environment Partnership with Southern and East Africa (EEP-S&EA), which is a programme that promotes renewable energy (RE), energy


efficiency (EE), and clean technology investments.


The EEP Programme supports projects which aim to provide sustainable energy services to the poor and combat the climate change. To qualify for EEP support projects should also


demonstrate high innovation in delivering energy services, facilitating technology transfer, encouraging cooperation and local stakeholders’ participation in projects.


Therefore for the benefit of all potential developers in energy services projects in Tanzania, i would like to request for posting an announcement for EEP-S&EA fourth call of proposals in


which the maximum grant allocated to a project will be €200 000 and all applicants are required to provide some level of own contribution.


The information is available in the programme website www.eepafrica.org and if possible i would kindly request for you to tell the public about this opportunity in your blog, with the


following statement below which contain link to the announcement page for application.


"The Energy and Environment Partnership Programme for South and Eastern Africa (EEP-S&EA) has announced the Fourth Call for Proposals for supporting renewable energy and energy efficiency projects. Applications for funding can be submitted via email before the deadline 13h00 GMT+2, on 16 January 2012 More...


Kind Regards


Mussa Abbasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Kiswahili ni lugha ya Taifa jamani tuitumie ili watu wote wafaidike.

    ReplyDelete
  2. Ahsante Mdau Mussa Abbas wa Wizara ya Madini na Nishati kwa taarifa hii ya Uwezeshaji!

    Asiyeelewa Kiingereza atafute Kamusi au atumie Google mtandaoni kutafsiri!

    ReplyDelete
  3. kwani kichwa cha habari kina sema habari kwa wageni mpaka aandike kiingereza si kwa wamatumbi yeye huyo mwandishi anaweza kutoa maelezo kwamba watanzania wangapi wenye uwezo wa kusoma na kuandika kiingereza?au anataka kujidai tu kwamba wamatumbi wote wanajua kiingereza?acheni ulimbukeni huo mdau. istanbul(watanzaniauturuki)

    ReplyDelete
  4. We mdau unasema uko Istanbul wacha ushamba.Kwanza usijiite watanzania uturuki unatuaribia coz na mm pia nipo hapa ubatani so andika maoni yako ww km ww.
    Pili ww hujui neno wamatumbi linatumika vipi ndo maana umekurupuka kucomment..km hujui wamatumbi ni wageni kwa lugha ya hapa michuzi,so habari haikukusudiwa watz bali wageni.
    Km vp kaa kimya sio lazima kucomment

    ReplyDelete
  5. Habari ankali! badili chaneli doooh. Fikra sahihi huja kwa lugha sahihi

    ReplyDelete
  6. Propasal inayotakiwa ya Kiingereza awaandikie Kiswahili cha nini? Usipoellewa tangazo utaweza kuandika proposal ya kiingereza ya kushindanishwa na zingine? Sio lazima kila saa tukosoe

    ReplyDelete
  7. blog ya michuzi ni maalum kwa watanzania waliopo popote pale ulimwenguni ili kutupa habari za nyumbani na n'nje ya nyumbani ambayo inajumuisha watanzania waliopo ndani ya nchi na n'nje ya nchi nini kinachoendelea kwa watanzania,haipo kwenye lengo la wageni kaka sawa, samahani kama nimekosea lakini ujuwe blog zetu zote za nchini mwetu zinalenga watanzania na sio wageni na hata siku moja mr.muhidin issa hawezi kupotosha watu na kuwaita wageni ndio wamatumbi.tatatiibu mr.

    ReplyDelete
  8. Maoni hapo juu yangekuwa bora zaidi kama yangesaidia kupeana mawazo ya kuwezesha kushinda wale wanaoweza kujaribu kuandika proposal. Suala la nishati tayari ni tatizo kubwa Tanzania. Japo kidogo fursa kama hizi zinaweza kusaidia kupunguza baadhi ya matatizo.

    ReplyDelete
  9. wadau wanalalamikia kuandikwa kwa kingereza tanagazo hili , kwanza sio rahisi mtu mwenye elimu ya chini kujaza fomu zao na sijuwi watanzania wangapi ambao naamini ni qualified lakini watakosa ruzuku hizi kutokana na fomu zake kuwa ngumu kuzijaza , ni mwelekeo mzuri wa taifa tanzania kupatiwa nafasi hizi , lakini hii inahitajia ujzi mkubwa na timu ya watu wenye taaluma ya mazingira kama mimi , kwanza ukishindwa kuandika kingereza maombi yako yantupwa kwenye bin

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...