Baadhi ya mabondia wa timu ya taifa ya Masumbwi wakifanya Mazoezi ya pamoja katika kambi yao iliyopo Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam jana.
Kocha wa timu ya taifa ya mchezo wa ngumi, Edward Lyakwipa (kushoto) akimwelekeza bondia, Mohamed Abdul jinsi ya kuikwepa ngumi uku ukiwa kwenye gadi wakati wa mazaoezi ya kambi hiyo iliyopo uwanja wa ndani ya taifa Dar es salaam


Hamna kitu hapo! Madogo mikwala ya mbuzi tu.
ReplyDeletehawa ni mabondia, au..... hebu tuache utani jamani
ReplyDeleteheee hheeeee, halo halo ya mbuzi!
ReplyDeletemichuzi naomba mwambie huyo kocha tuwasiliane vijana wanaitaji protein baada ya mazoezi ku keep up na mazoezi magumu ndio maana wanaonekana afya mbaya pia creatin kwa ajiri ya ku feed misuri wanaweza kua wazuri kwa ubondia lakini kama protein ya kusaidia kulisha misuri wakati wa mazoezi na usiku wakati wamelala bado watakua hivyohivyo bila lishe kwani hawata gain muscles <waistman2000@yahoo.com
ReplyDeleteMICHUZI SASA NAONA UMEVUKA MIPAKA, WENGINE SISI NI WAZEE NA HESHIMA ZETU LAKINI UNATUONGOPEA.
ReplyDeleteUKWELI WA TAARIFA HII NI KWAMBA HAWA NI WAKIMBIAJI WA MBIO NDEFU NA HAPA WAPO GYM!!
AMA KWELI UKISTAAJABU YA ... UTAYAONA YA FIRAUNI. MBONA VIJA STAHIKI WA KUFUNDISHWA NDONDI WAPO KARIAKOO SHIMONI. HEBU MWONE HUYO KWENYE PICHA YA PILI ALIYESHIKA NYONGA HIVYO VIMGUU KWELI VITAMUWEZESHA KUWA NA STAMINA YA KUHIMILI SUMBWI?