Baadhi ya mabondia wa timu ya taifa ya Masumbwi wakifanya Mazoezi ya pamoja katika kambi yao iliyopo Uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam jana.
Kocha wa timu ya taifa ya mchezo wa ngumi, Edward Lyakwipa (kushoto) akimwelekeza bondia, Mohamed Abdul jinsi ya kuikwepa ngumi uku ukiwa kwenye gadi wakati wa mazaoezi ya kambi hiyo iliyopo uwanja wa ndani ya taifa Dar es salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hamna kitu hapo! Madogo mikwala ya mbuzi tu.

    ReplyDelete
  2. hawa ni mabondia, au..... hebu tuache utani jamani

    ReplyDelete
  3. heee hheeeee, halo halo ya mbuzi!

    ReplyDelete
  4. michuzi naomba mwambie huyo kocha tuwasiliane vijana wanaitaji protein baada ya mazoezi ku keep up na mazoezi magumu ndio maana wanaonekana afya mbaya pia creatin kwa ajiri ya ku feed misuri wanaweza kua wazuri kwa ubondia lakini kama protein ya kusaidia kulisha misuri wakati wa mazoezi na usiku wakati wamelala bado watakua hivyohivyo bila lishe kwani hawata gain muscles <waistman2000@yahoo.com

    ReplyDelete
  5. MICHUZI SASA NAONA UMEVUKA MIPAKA, WENGINE SISI NI WAZEE NA HESHIMA ZETU LAKINI UNATUONGOPEA.

    UKWELI WA TAARIFA HII NI KWAMBA HAWA NI WAKIMBIAJI WA MBIO NDEFU NA HAPA WAPO GYM!!

    AMA KWELI UKISTAAJABU YA ... UTAYAONA YA FIRAUNI. MBONA VIJA STAHIKI WA KUFUNDISHWA NDONDI WAPO KARIAKOO SHIMONI. HEBU MWONE HUYO KWENYE PICHA YA PILI ALIYESHIKA NYONGA HIVYO VIMGUU KWELI VITAMUWEZESHA KUWA NA STAMINA YA KUHIMILI SUMBWI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...