Mafundi wanaofanya ujenzi wa barabara ya Bagamoyo Rodi,chini ya Mkandarasi Konoice wakishusha mifuko ya Cement leo ikiwa ni muendelezo wa ukarabati wa barabara hiyo ambayo ujenzi wake umekuwa ukienda kwa kasi tangu ulipoanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Watajenga "dabo rodi" au ??Halafu nyie watu mnaotumia barabara hiyo huwa mnajifanya wajanja, ila foleni ya hiyo barabara nadhani imeshawategua migongo yenu manake ni noma hasa pale Tegeta,njia panda ya mchanga mweupe nk....!!!Bobgo bwana kuna watu wanaishi sehemu "iliyokuwa ikidharauriwa" Dar ila hawana foleni kwa sasa na wajanja wanawekeza kwa sana mitaa hiyo kwa sasa he hee..

    David V

    ReplyDelete
  2. Una maanisha mbagala jalala au wapi?

    ReplyDelete
  3. Mambo ya Magufuli Pombe ayo

    ReplyDelete
  4. MUNGU ATAMLIPA ZAIDI JAKAYA.KWA IHSAN KUBWA ANAYOTUFANYIA SISI WAZT.MPAKA KWETU LEO TANDIKA FULL JAMVI, .BADO UMEME SASA MKUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!BRAVO JAKAYA

    ReplyDelete
  5. afadhali ndugu yangu umeona jitahada za JK wengi wetu ni kuponda tu hv karibuni niliunganisha toka tandika kutokea Jet Lumo sikuamini Jamvi la nguvu

    ReplyDelete
  6. JK akitaka kupiga bao la nguvu zaidi ni atatue ishu ya umeme, migomo (vyuo vikuu na walimu), katiba na mwananyamala hospitali. Pia aondoe posho kwa wabunge na hizo hela akijumlisha na zile za EPA ziende kwenye miradi ambayo watu wataiona kwa macho, hasa maji na huduma za afya vijijini. Jamaa akifanya haya basi nahisi CCM itaweza kukamata hatamu tena 2015.

    ReplyDelete
  7. mr. Michuzi hebu jaribu kubadili kichwa cha habari. Iweje uandike 'barabara ya bagamoyo rodi'? Ndo kiswanglish au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...