Home
Unlabelled
ujenzi wa barabara ya bagamoyo rodi waendelea kwa kasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watajenga "dabo rodi" au ??Halafu nyie watu mnaotumia barabara hiyo huwa mnajifanya wajanja, ila foleni ya hiyo barabara nadhani imeshawategua migongo yenu manake ni noma hasa pale Tegeta,njia panda ya mchanga mweupe nk....!!!Bobgo bwana kuna watu wanaishi sehemu "iliyokuwa ikidharauriwa" Dar ila hawana foleni kwa sasa na wajanja wanawekeza kwa sana mitaa hiyo kwa sasa he hee..
ReplyDeleteDavid V
Una maanisha mbagala jalala au wapi?
ReplyDeleteMambo ya Magufuli Pombe ayo
ReplyDeleteMUNGU ATAMLIPA ZAIDI JAKAYA.KWA IHSAN KUBWA ANAYOTUFANYIA SISI WAZT.MPAKA KWETU LEO TANDIKA FULL JAMVI, .BADO UMEME SASA MKUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!BRAVO JAKAYA
ReplyDeleteafadhali ndugu yangu umeona jitahada za JK wengi wetu ni kuponda tu hv karibuni niliunganisha toka tandika kutokea Jet Lumo sikuamini Jamvi la nguvu
ReplyDeleteJK akitaka kupiga bao la nguvu zaidi ni atatue ishu ya umeme, migomo (vyuo vikuu na walimu), katiba na mwananyamala hospitali. Pia aondoe posho kwa wabunge na hizo hela akijumlisha na zile za EPA ziende kwenye miradi ambayo watu wataiona kwa macho, hasa maji na huduma za afya vijijini. Jamaa akifanya haya basi nahisi CCM itaweza kukamata hatamu tena 2015.
ReplyDeletemr. Michuzi hebu jaribu kubadili kichwa cha habari. Iweje uandike 'barabara ya bagamoyo rodi'? Ndo kiswanglish au?
ReplyDelete