Mfugaji Bwana Mungo Makubi (27) kushoto na Singu Mwakami (23) wakimtazama ng'ombe aliyeuawa kwa kugongwa na gari aina ya Toyota Landcruiser lenye nambari ya usajili T 566 BQH, iliyokuwa ikiendeshwa na mwekezaji wa Kapunga Rice Project wilayani Mbarali aitwaye Bwana Gerry Baquzein, baada ya kuwakosa wafugaji hao alipotaka kuwagonga kwa kujistiri nyuma ya mti na kisha hasira za mwekezaji kuishia kwa kumgonga ng'ombe huyo mwenye thamani ya shilingi laki 6 za kitanzania na kisha kufa papo hapo.
Gari aina ya Toyota Landcruiser lenye nambari ya usajili T 566 BQH,iliyokuwa ikiendeshwa na mwekezaji wa Kapunga Rice Project wilayani Mbarali aitwaye Bwana Gerry Baquzein na kumgonga ng'ombe hadi kufa.
Jeshi la polisi lilifika eneo la tukio na kushuhudia ng'ombe huyo akiwa amefariki lakini hawakuchukua hatua zozote za kisheria dhidi ya mwekezaji wa Kapunga Rice Project wilayani Mbarali aitwaye Bwana Gerry Baquzein, aliyetumia gari lake kufanya mauaji ya ng'ombe huyo.Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. Hao wawekezaji wengi wana viburi sana,sasa anachukuliwa hatua gani za kisheria juu yake?
    Serikali lazima iliangalie hili kwa jicho la pili,maana hao wamasai wasingekimbilia kwenye mti basi jamaa angewaonga na kuwauwa.

    ReplyDelete
  2. Wawekezaji wengine jamani, lohhh ama kweli njaa mbaya!

    Hii yote ndio gharama ya kushindwa kuendesha mambo yetu wenyewe matokeo yake tunaingiza watu wasio hata na ustaarabu katika kuishi na jamii yetu.

    ReplyDelete
  3. Polisi hawawezi kuchukua hatua yoyote kwani wanaogopa kufukuzwa kazi, kwani hamjui kwamba Bwana Gerry Baquzein analindwa na viongozi wa kitaifa. That why amekua na iyo jeuri ya kutaka kuua raia...Very sad.

    ReplyDelete
  4. inauma sana kunyanyaswa ndani ya nchi yako pamoja na kukosa usaidizi wa serikali katika kujikwamua kwenye maisha magumu na bado wanafatwa huko walipo na kunyanyaswa

    huku ughaibuni mwenye nchi atabakia kuwa ndio mwenye kupata haki 100% ya mgeni mhamiaji.

    tutaendelea kuwa watumwa wa mambo leo mpaka nchi itakapouzwa tena.

    ReplyDelete
  5. Michuzi nashukuru sana kwa kutuletea picha na habari hii. Jamani hawa watu wakutoka Barluchistan huko Afganistani wamekuwa wakiwaonea watu wa Mbarali kwa muda mrefu. Tatizo wanakula na wakubwa wa nchi hii, ndiyo maana wanajiona wako juu ya sheria na hivyo kufanya kitu chochote wanacho hisi kwao ni halali.Ndugu zangu wana-Mbarali amkeni hao jamaa tuanze kuwaonyesha kuwa huko siyo kwao.Tuwaanzishie kichapo cha nguvu hadi wakimbie Wilaya hiyo. Maana siunaona Polisi wamefika hapo kisha wanatazama tuu utafikiri wapo picnic. Inaudhi sana.

    ReplyDelete
  6. michuzi wewe ni muoga wa ukweli nilituma maoni yangu kuhusu kuuwaa kwa ngombe na mtu hukuyatoa.SHAME ON YOU YOU ARE A COWARD,JUA UKWELI HAUKWEPEKI

    ReplyDelete
  7. Serikali inaogopa wawekezaji na kuwakandamiza wananchi. huyo akamatwe na awajibishwe sheria ni sawa kwa watu wote bila kujali rangi wala fedha.

    ReplyDelete
  8. Hilo ni kosa la kujaribu kuua binadamu. Sheria lazima ichukue mkondo wake. Kama hatafikishwa mahakamani kujibu mashitaka basi hatuna sheria Tanzania. Watanzania tunafuatilia kwa karibu. Michuzi wacha kubania comment zetu. Hapa pana makosa makubwa sita ya kisheria: Tempted murder, kunyanyasa wanyama, kuua mnyama kinyume cha sheria, kuharibu mali ya mtu mwingine, ajari ya gari barabarani na kuwatesa kisaikolojia waathirika.

    ReplyDelete
  9. Huyu jamaa Mwekezaji asiyemstaarabu kwa nini akipewe masaa 24 aende zake kwao!....sawa tuna njaa lakini kwa mtaji huu wa tabia hii hapana ...tumekataa haiwezekani!

    ReplyDelete
  10. Kibanga ampiga Mkoloni

    David V

    ReplyDelete
  11. bwana kwani wamasai wana thamani gani, si wapo tu kama ngombe. Hapo wamasai 2 wameshauawa, sababu ngombe 1 ni sawa na wamasai 2

    ReplyDelete
  12. hivi mbona tumeanza kusikia siku nyingi kuhusu mbalali na huo ugomvi na mwekezaji? ina maana hapo hakuna viongozi? kweli tz imekwisha mimi nafikiri kwasababu hakuna sheria basi na wana mbalali wachukue sheria mkononi ili wajilinde!!!!

    ReplyDelete
  13. Bima italipa hiyo gharama ya ng'ombe. Hawa Masai hawana adabu wameacha kufuga na kukimbilia Zanzibar huku kufanya ushoga na kuuza bangi. Wengine wanafanya u-Pimp kwa dada zao wa ki-Tanga kuwauzia hao Wazungu mnaowapigia kelele!!

    ReplyDelete
  14. Poleni wenye mfugo.... Mimi naishangaa serikali na hasa katika ngazi za vitongoji - vijiji ambapo hao waitwao wawekezaji wapo... km hapa moshi TPC ni mwekezaji lakini angalia barabara zipitazo kati ya shamba lao kuelekea vijiji jirani - ni mbaya kuliko vipimo. Huyu bew Baizak Hatengenezi na wala sisi wadau na viongozi wetu hatumwambii! tunabaki kugugumia tu! Je kwanini asitengeneze barabara hizi?? Bw Baizak pls do smthng!

    ReplyDelete
  15. wananchi wa mbarali serikali iko mfukoni mwa jamaa cha kufanya ni vita ya usiku,au chini chini mpaka mwekezai akimbie.Watu kama hawa Nyerere aliwatimua mara moja.

    ReplyDelete
  16. OUR LEADERS DONT DO WHAT A RESPONSIBLE GOVERMENT SHOULD DO THIS WILL HAVE TO CHANGE WHETHER PEACEFUL OR BY FORCE.LEADERS KILL PEOPLE AND GO UNPUNISHED SO WHAT WILL A FOREIGNER DO?

    ReplyDelete
  17. Michuzi haya ni ndio yale yale ninayoyapigia kelele kwenye blog yako. Taarifa hii wala haielweki kabisa.

    Hebu wewe mwenyewe rudia sentensi "baada ya kuwakosa wafugaji hao alipotaka kuwagonga kwa kujistiri nyuma ya mti...." Hivi kweli hii inaingia akilini?

    alitakaje kuwagonga kwa kujistiri nyuma ya mti? sentensi ingelisomeka sawa kama kungelitumika vituo sahihi na maelezo kuwa mafupi juu ya chanzo chote.

    ReplyDelete
  18. Huyu Gary whatever ni m- Afghanistan? I doubt.

    Lakini shilingi ina pande mbili, jee na wao wanaheshimu mipaka ya eneo alilopewa huyo jamaa?

    Iwe amepewa na wakubwa au la hapa siyo issue, issue ni kwamba watanzanai hatuheshimu property ya mtu yeyote, awe ni mwananchi au raia wa nje.

    ReplyDelete
  19. lakini jamani hili tuliangalie vizuri..kwa nini na hawa wamasai walishe ng'ombe kwenye shamba la mpunga??? Tuwe wakweli hata kama ingekuwa wewe ungefanya kitu cha ajabu..

    ReplyDelete
  20. Watu kama hao Zimbabwe Mugabe aliwapaga ruhusa wenye nchi kuwatembezea kichapo,hakikubaki kitu,mpaka mbwa wao walikula kisago,sasa dawa yao nikuwafanyia waliyofanyiwa wakulima wa kizungu Zimbabwe,ndio wataia akili,mpaka leo mugabe wazungu hawampendi, haangalii makunyanzi.

    ReplyDelete
  21. ho wafugaji wote hamna anayeweza kutumia mshale wenye sumu?? nafkir itakuwa fundisho kwa wengine na pia serikali sababu itapata maswali kutoka balozi husika ya mwekezaji then ndo wataamka na kufuata sheria. wa(neno baya) hao polisi wa huo mkoa na viongozi wake!!

    ReplyDelete
  22. Huyu anaetutukania dada zetu wakitanga atakua mpuuzi flani wakikojani ambae hata kuchamba hajui..We mkojani au mtu wakiuyu mzaiwa ngombe wacha upuuzi wako..nyie si ndo mnakuja kutanua Tanga kutoka Kojani,Bummbwini,Shumba viamboni na hata Tumbatu ya Gomani?acha kutukana watu wewe changia mada.

    ReplyDelete
  23. pOLENI WATANZANIA WENZANGU. JAMANI FANYEJI JUHUDI AONDOKE ZAKE HUYO MFANYIENI VISAAAAAAAAA VYA CHINI CHINI MMTIE HASARA ATAONDOKA. JE ANGEWAKUTA HAO WATU INGEKUWAJE HIVYOOOOOOOO ANGEWAUA WATANZANIA WENZETU HALAFU YUKO KWETU TUSINYANYASWE KIHIVYOOOOOOOOO JAPO MASKIN, UMASKINI WETU WASITUDHALILISHE KWETU IWE KWAOOOOOOOOOOOOOO NINA HASIRA MIE NINGEMUONA MIEEEEEEEEEEE MNYONGE ANYONGWA HAKI APEWEEEEEEEEEEEEEE
    POLISI PIA WANAOGOPA KUFUKUZWA JOB MAANA HALI MBAYA

    ReplyDelete
  24. Sasa ndo nini?kama hawawezi kufanya hivo kwao kwanini wafanye hivo hapa??Mwekezaji or not, no one is above the law-this is too bad.

    ReplyDelete
  25. Labda tuone upande wa wale wanaotakiwa kuwa takia haki na maendeleo ya wananchi kwenye majimbo yao, kama hii issue ni kweli basi inabidi kumuandama Mbunge pamoja na viongozi wengine kwenye hili jimbo kwani kunyanyaswa Mtanzania mmoja wa kabila lolote lile basi ni sawa kunyanyasa watanzania wote kwa jumla. Watanzania tuwe na utamaduni wa kupendeana haki.

    ReplyDelete
  26. Jamani Ditopile si aliua mtu na akaachiwa?ajabu gani mtu kugonga ng'ombe kelele kibao!!badilisheni mfumo wa sheria nchini uwe wa haki kwa watu wote ndio suluhisho

    ReplyDelete
  27. Mdau unayesema

    "Hawa Masai hawana adabu wameacha kufuga na kukimbilia Zanzibar huku kufanya ushoga na kuuza bangi."

    kwa mantiki hiyo Wamasai wote wahukumiwe kwa kosa la hao wanaofanya huo uchafu huko Zanzibar? Na watamuuzia nani kama soko hakuna?

    Mzanzibari mmoja akikosea kitu Mbeya, Wazanzibari wote nchini wahukumiwe kwa kosa lake?

    Kila kabila lina watu wenye kasoro na watu wazuri pia. Hapa mada ni muwekezaji aliyewaonea Watanzania, ndani ya Tanzania.

    ReplyDelete
  28. maendeleo wameshindwa kutuletea wamebaki kujinufaisha wenyewe basi wajitahidi walau kulinda utu na heshima yetu kwa kumchukulia hatua stahiki huyu mlowezi

    ReplyDelete
  29. Wana Mbarali mtamkumbuka sana Kanali Edmund Mjengwa,nadhani yeye peke ndio alikuwa dawa ya hao waburushi...toka astaafu wote waliomfuatia wamewekwa kwenye mifuko ya hao waburushi,wameweka maslahi ya hao waburushi mbele na kusahau wazawa halisi wa bonde la usangu....serikali ya wilaya iko wapi kwenye swala hili..?? Mbunge wa mbarali nae yupo wapi...??

    ReplyDelete
  30. HII INASIKITISHA SANA,NA HII YOTE NI KWAKUWA NA SERIKALI LEGELEGE INAYOPENDA RUSHWA!HIVI HUYU MTU KIBURI AMEPETA WAPI?NA POLISI WAOGA WANASHINDWA KUMCHUKILIA HATUA.HAPA TULIPOFIKIA INATIA AIBU NA MWISHO WAKE TUTASHINDWA KUJITAWALA KWA KUWA WATU WATACHOKA NA HAYA MAISHA YA KUNYANYASWA NA WAWEKEZAJI UCHWARA WASIOJALI UTU!

    Mulla!

    ReplyDelete
  31. Mimi siwapi pole hawa wafugaji wameniudhi sana. Inasemekana walukuwepo na walijibanza kwenye mti ili wasogongwe. Sasa mbona wameacha mboga imeharibika ilhali walikuwepo na viunoni mwao wana sime. Imeniuma sana mboga iliyonona namna hiyo imeachwa kuwa kibudu na mzoga!!!

    ReplyDelete
  32. HAKUNA CHA KUONEWA MWANANCHI WALA NINI. KWANI HAMJASIKIA UGOMVI KATI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI? JE HAO WAKULIMA WANAOPIGANA NA WAFUGAJI NAO NI WAWEKEZAJI? KUSEMA UKWELI WAFUGAJI NI WAKOROFI SANA WANAINGIZA MIFUGO YAO KWENYE MASHAMBA YA WENZAO BILA KUJALI NA UKIWAAMBIA WANAKUPIGA. HAO WAMASAI WANATABIA YA KUHAMA NA MIFUGO YAO NANI ASIYELIJUA HILI. KUNA WAKATI WALIFANYA UKOROFI SANA BONDE HILO HILO LA USANGU MPAKA MIFUGO YAO MINGINE IKAHAMISHIWA MKOA WA PWANI NA SONGEA, JE ALIYEWAHAMISHA NI MWEKEZAJI AU SERIKALI???????

    ReplyDelete
  33. Wananchi mpooo? Kwanini msimharibu na mali zake zote? Mtieni adabu...bado mnaliangalia gari...chomeni chomeni na yeye!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...