Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya CFAO Motors Roddy Sharp akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 22, 448,000 kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCRBT Erwin Telemans ikiwa ni msaada wa kuunga mkono huduma zinazotolewa na Hospitali hiyo ambapo Uongozi wa Hospitali hiyo umesema fedha hizo zitaelekezwa katika kitengo kinachohudumia watoto walioungua kuwawezesha kurejea katika hali yao ya kawaida. Wa kwanza kulia ni Afisa Masoko wa CFAO Motors Alfred Minja na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa CCBRT Haika Mawala.
Viongozi wa CFAO MOTORS na CCBRT wakibadilishana mawazo baada ya Makabidhiano hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...