Dr. Steven Boniface Mwakalinga Mtanzania anaeishi Copenhagen, Nchini Denmark  akamata Nondo ya PHD katika Malaria Vaccine Development kutoka Copenhagen University faculty of medical and Health Sciences.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongera Bony. Wewe ni myambala kweli kweli.

    ReplyDelete
  2. Hongera kijana wa Mkwawa enzi za Mgohamwende!

    ReplyDelete
  3. hongera sana Steve (Dr. PhD), Gashle (MASS 1990 -1993)

    ReplyDelete
  4. Hongera sana mkuu.

    David V

    ReplyDelete
  5. Copenhagen hakuna mbu, rudi bongo ukaimalize malaria!

    ReplyDelete
  6. dogo rudi sasa bongo tukupige 10,000 posho kwa siku ndio utajua utamu wa kusoma bongo.

    ReplyDelete
  7. Hongera, lakini mrudi nyumbani. Inasikitisha wasomi kuhamia majuu. Njoo usaidie ndugu zako huku ndio kuna Malaria. Tunajua mishahara mibovu ndio inawakimbiza, basi njoo ugombee ubunge maana sasa hivi kila msomi anaona ni bora kuwa Mbunge, maana wao tu ndio wanaolipwa na kukopeshwa vizuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...