Bwawa la Maini wamewatungua Cardiff City na kutwaa mwali huyo hapo juu usiku huu. Bwawa Oye!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Kombe lenyewe kombe ka mbuzi! Watu tunabeba Barclay's.

    ReplyDelete
  2. Club ya kihistoria watasema sana kombe la mbuzi na ndiyo tumetoa nuksi hapo kaeni vizuri nyie machava....

    ReplyDelete
  3. kwa kweli wale watoto walikaza sana lkn kombe lilikuwa letu.hawa wangekuwa ligi kuu timu kubwa zingepata tabu.ila cha kushangaza mechi iliyopita walifungwa na ipswich town 3-0

    ReplyDelete
  4. Jamani watoto wa leo ongeleeni maendeleo ya nchi yenu sio vilabu vy wazungu hivi vitatupeleka wapi. Nyerere alisema tutatawaliwa mpaka nanihii zetu. Tunayaona bado tuhai.

    ReplyDelete
  5. Shangwe ina wenyewe hata kama kombe la "kuku" mtakoma!!

    ReplyDelete
  6. Thanks God.

    Carlos Muhuga

    ReplyDelete
  7. Huu Ushindi Bwawa la Maini ni wa Ankal mwenyewe si ndio alikuwa huko UK amefunga bao Kombe Mkononi yeye akajikataa anangoja aitwe tena Kikosini amerudi Bongo!

    ReplyDelete
  8. Kazi ya Liverpool hiyo, kuchukua makombe yasiyokuwa na kipaumbele kwa timu kubwa. Eti Gerrard anashangilia , shauri lako utabaki hapo hapo tu na kama unaendelea n Livepool basi tena hutofanikiwa kutwaa kombe la EPL.

    ReplyDelete
  9. kombe la mbuzi? kwani man u anacheza kombe gani sasa hivi? we lazima utakuwa manu?

    ReplyDelete
  10. kwahiyo kama nyerere alisema! sisi tufanye nini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...