Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (machinga) wa jijini Mwanza ambao leo January 6, 2012 walikwenda Ikulu ndogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa milioni 10 kwa ajili yawamachinga hao kukopeshana mitaji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali (mst) Ernest Mwita Kyaro jijini Mwanza asubuhi ya leo Jauary 6, 2012. Jenerali mstaafu Kyaro, ambaye alikuwa mkuu wa majeshi katika serikali ya awamu ya pili, amefurahi na kumshukuru sana Rais Kikwete na mkewe kwa kutembelea.PICHA NA IKULU.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali (mst) Ernest Mwita Kyaro jijini Mwanza asubuhi ya leo Jauary 6, 2012. Jenerali mstaafu Kyaro, ambaye alikuwa mkuu wa majeshi katika serikali ya awamu ya pili, amefurahi na kumshukuru sana Rais Kikwete na mkewe kwa kutembelea.PICHA NA IKULU.
Yaani kutoa hiyo milioni 10 ilipaswa iwe habari ya mwisho kabisa, la msingi ni mikakati ya dhati ya kuwasaidia...si kila mtu anahitaji mkopo, na kwa hali halisi nchini, mikopo kwa masikini ni sawa na nusu ya kifo au kifo haswa. Achilia mbali wanene watakaozitolea macho hizo pesa,huwa hawajali ni kiasi gani.
ReplyDeleteWe anon huna dogo kila kitu cha rais wetu mpendwa wewe ni kukandia tu. m.....vi yako!
ReplyDeleteNakubaliana na anon. wa kwanza. Classic examples are set by India na Sri Lanka ambako masikini walivutiwa na mikopo midogo midogo na sasa wanajiua balaa kwa kushindwa kulipa na kubanwa na asasi za mikopo. Mikopo sio suluhisho BORA wakati wote, there are most basic things to cater for in order to foster long-term and unburdened development initiatives.
ReplyDeleteAnon. wa pili, wewe ndio wale wale wa kusifia tu bila kufikiria manufaa ya muda mrefu kwa taifa. "Akisema wewe piga makofi tu, ndio kazi yako."
Wewe anon. wa pili, asante kwa kunitukana, naamini matusi yana msaada kwako. Sikuwa na nia ya kumkera wala kumkashifu mtu bali kuchangia fikra tu. Nisamehe kama nimekukera.
ReplyDeleteanony wa kwanza ni kweli tunahitaji sera madhubuti pamoja na utekelezaji. Vinginevyo wale ambao hawatabahatika kuonana na rais yaani 99.9% ya wahitaji, hawatafaidika.
ReplyDeleteto ma side i think,before give out the money or make the statement,firstly do that people have interpreur skills inorder when you give them dollar they paid back thousand grand,if they don't,make a competition to determine what they are though,and then you determine thing black and white,you give out cash or wasoever,still you have clue 4 their problem.
ReplyDeletemchaka mchaka wa kila asubuhi saa kumi na moja na nusu
ReplyDeletegodfrey umeweka comment yako kwa inglish mbovu.. hatujakuelewa. Nyie ma anon mnaokandia mna roho za wivu tu.. u dont appreciate what u have! big up JK usisikilize negative minds...
ReplyDeleteJamaa ni kati ya wafanyakazi wa umma waaminifu
ReplyDeleteHapo ni nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi mstaafu au ni Hospitali??
ReplyDeleteSisi tunampenda lakini Mungu anampenda zaidi huyu Mzee wetu!!!!
Makanyaga, New York
We anon wa pili unayajua matusi au unayasikia; mbona jamaa amekujuza vizuri tu nyie ndo wale wale msiotaka kukosolewa mnapokosea; jamaa amekuelimisha vizuri sana.
ReplyDelete