MENEJA MASOKO NA UTEKELEZAJI WA MFUKO WA GEPF,BW. ALOYCE BEST NTUKAMAZINA AKITOA MADA KWA MAAFISA WA TRA KUHUSU UMUHIMU WA KUJIWEKEA AKIBA YA UZEENI.
KAMISHNA MKUU WA TRA,BW. HARRY KITILYA AKIFUNGUA MKUTANO HUO ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA AICC ARUSHA NA KUJUMUISHA MENEJIMENTI YA TRA PAMOJA NA MAAFISA KUTOKA WILAYA ZOTE NCHINI.
BAADHI YA MAAFISA WA TRA WAKIFUATILIA KWA MAKINI MADA ILIYOWASILISHWA NA MFUKO WA GEPF.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. safi sana,ila walivyovalia kuwaangalia vizuri utadhani ni wafungwa wa magereza.

    ReplyDelete
  2. zuluma sana hawa tra

    ReplyDelete
  3. mmmm!! Mungu tusaidie sasa itakuwa kero, mishahara minono na rushwa juu na sasa lazima waume sana ili zibaki za kuweka kwenye akiba ya uzeeni,

    ReplyDelete
  4. HAHAHAHA, NIACHENI NICHEKELEEEEE!!!!!!

    MPANGO WA MFUKO WA GEPF WA AKIBA YA UZEENI KWA WATU WA MAPESA WA T.R.A NI KAMA MAIGIZO, WAO TAYARI WANA UHAKIKA NA MAISHA YAO YA UZEENI KWA UWEKEZAJI WALIO KWISHA FANYA KWA MAJUMBA KUJENGA NA MIRADI KUTOKANA NA RUSHWA WALIYOKWISHA KUKUSANYA.

    ReplyDelete
  5. Duhhh hiki ni kituko cha mwaka!

    Makusanyo waliyofanya hawa jamaa kwa rushwa kwa miaka michache yao kazini NI MAKUBWA ZAIDI, wakati Akiba ya Uzeeni ya Mfuko wa GEPF hadi watakapo Staafu itakuwa NDOGO ZAIDI.

    HIVYO:

    HUU MPANGO HAUWAFAI WATU WA T.R.A TAFUTENI KUWAFIKIA WATUMISHI WA TAASISI NA IDARA ZENYE UKATA NDIO UTAWAFAA.

    ReplyDelete
  6. Wandugu zetu wazee wa Mapesa TRA wao wenyewe ''wameshajikusanyia sana mafao yao kabla ya Kustaafu'', na wanaendele kukusanya tu,

    Wao wako vizuri tu na wamesha jiaandaa na Mshike mshike wa maisha ya Uzeeni baada ya Kustaafu!

    Hivyo mipango ya Mifuko kama GEPF haina uzito sana kwao labda muwapelekee Idara ya Kilimo,Ustawi wa Jamii na Magereza!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...