Kwa wale wanaohitaji kujiunga na elimu ya juu nchini Ujerumani.

Kuanzia B.A,Bsc,M.A mpaka Phd Watanzania tumieni nafasi hizi,chuo kinapokea wanafunzi hata kwa vijana wa Kitanzania wenye kumaliza kidato cha sita wana nafasi ya kujiunga na chuo hiki,maelezo zaidi,

Tafadhali wasiliana na anuani hii hapa chini:

Carl von Ossietzky Universität Oldenburg
Ammerländer Heerstr. 114-118,
26129 Oldenburg
Germany

Simu :+49-(0)441-798-0

Pia fomu za maombi zinapatikana online katika link hii chini:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Sidhani tatizo nio kupata chuo. Issue ni finance, ada na matunzo. Tupe link za ada na matunzo, vyuo tutatafute wenyewe.

    Thanks

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si ufungue hio website usome mwenyewe kila kitu..mbona tunakuwa wavivu namna hii wabongo??kupenda kutafuniwa kila kitu

      Delete
  2. au kuna udalali hapa!!

    ReplyDelete
  3. Kwa nini usitoe anuani yako ya barua pepe (email). Gharama za kupiga simu nje si ndogo mjomba.

    ReplyDelete
  4. Haya ndio mambo Ahsante kwa Taarifa hii!

    ReplyDelete
  5. nafasi za masomo bure au na hela?

    ReplyDelete
  6. Mdau wa 7 Anonymous wa wed Feb 22, 09:59:00 AM 2012

    .....nafasi za masomo bure au na hela?

    DUNIA NZIMA TEMBEA HAKUNA KITU ''FREE EDUCATION'' AU ''ELIMU YA BURE'' INAKUWA NI NADHARIA TU (SIO HALISI) KWA KUWA:

    1.INAWEZA KUWA NI SIASA TU KUTOA AHADI YA ELIMU BURE KWA VILE ELIMU KUIENDESHA INA GHARIMU FEDHA NYINGI, ISIPOKUWA INAWEZA KUPANGWA KUFIDIA GHARAMA KWA MIPANGO YA UWEZESHAJI NA WATU KUSHIRIKISHWA.
    -WATU WANAWEZA KUKATWA KODI MAALUM NA IKATUMIKA KUGHARIMIA ELIMU, AU KTK MAKUSANYO LIKATENGWA FUNGU LIKATUMIKA NA YOTE HAYA INAWEZEKANA WATU WASIJUE NI VIPI MAMLAKA IMEWEZA KUTOA ELIMU BURE.
    -JAMII INAWEZA KUFANYA MAKUSANYO YA KUFIDIA GHARAMA ZA ELIMU PASI NA WATU KUJUA LAKINI KILA KITU KIKAWA SAWA.

    2.INAWEZA KUWA MIPANGO, WATU WAKAJENGA MISINGI YA UWEZESHAJI WATU KUSOMA.
    -KUPUNGUZA ADA KWA VIPAUMBELE KULINGANA NA HALI ZA KIUWEZO KTK MAKUNDI YA JAMII.
    -KUTAFUTA WAHISANI KTK JAMII NA KWINGINEKO.
    -KUWEKA MIPANGO YA MIKOPO NA NJIA ZINAZO FANANA NA HII.
    -KUTOA AHADI ZA AJIRA NA TAASISI HUSIKA ZIKA GHARAMIA ELIMU KWA MUHUSIKA.
    -KUTOA SCHOLARSHIPS KWA WANAFUNZI BORA.

    ****MFANO SCHOLARSHIPS******
    UTAGUNDUA ZINAKUWA NA MASHARITI MENGI ILI KUPUNGUZA IDADI YA WASTAHIKI KWA VILE RASILIMALI ZILIZOPO NI CHACHE KULINGANA NA WAHITAJI.
    *****************************
    HIVYO MTU ANAPOOMBA SCHOLARSHIP AKAKWAMA KWA KUTOKUFIKISHA KUKAMILISHA MASHARITI ANAKUWA HAWEZI KULAUMU NI LAZIMA ATA RIDHIKA NA MATOKEO NA HIVYO MAMLAKA INAKUWA IMEJIVUA LAWAMA.

    ******************************

    ELIMU INA GHARIMU KAMA UNAVYOONA WAKUFUNZI HUHITAJI MALIPO, MAJENGO,MASURUFU NA VIFAA VINAHITAJI FEDHA KUPATIKANA ILI KUFUNDISHIA...HIVYO WANASIASA WAKITOA AHADI ZA ELIMU BURE INAKUWA NI NDOTO ZA ALI NACHA,,,DUNIA NZIMA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...