Si mwingine bali ni Jane Goodall ambaye ana zaidi ya miaka 73 mwanamama mtafifiti bigwa wa masokwe duniani kutoka Uingereza ambaye pia ni mtaalamu wa mazingira kwa pamoja Mhe. Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Billal anayeonyesha kitabu cha mwanamama huyo kiitwacho "Reason for Hope" kwa baadhi ya waandishi wa habari waliojumuika nao kwenye chakula cha jioni Ikulu ndogo ya Mpanda jana. Mama Jane ametumia zaidi ya miaka 40 ya utafiti wake katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe iliyopo Mkoani Kigoma akitafiti maisha na tabia za Sokwe wanaopatikana kwa wingi katika mbuga hiyo. Kwa habari zaidi toka huko tembelea Libeneke la Mkoa wa Rukwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...