Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (kati)   akielekea katika uzinduzi  kulia kwake ni Mke wa makamu Rais Zakia Bilal na kushoto ni mwenyekiti wa  Chama cha Netiboli Tanzania (CHANETA)  Mama Anna  Bayi
 Mke wa Waziri mkuu mama Tunu Pinda akikagua timu ya netiboli ikiwa ni ishara ya uzinduzi mchezo huo wa neti boli ligi daraja la pili nyuma yake ni mke wa Makamu wa Rais Mama Zakia Bilali uzinduzi huo ulifanyika katika viwanja vya sigara changombe jijini Dar es salaam
Mama Kimei akiongea wakati wa kuichangia timu ya Taifa netiboli. Harambee hiyo iliongozwa na mama Tunu Pinda ambapo walichangia sh milioni sita. Picha na mdau Chris Mfinanga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...