Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. duh hawa jamaa kweli ni wakali video iko sawa ujumbe mzuri,masauti yametulia,hongerza charlz baba,kiwango kimekuwa kwa kweli

    ReplyDelete
  2. Mimi namfurahia sana Charls Baba anacho kipaji kikubwa sana huu wimbo una melody nzuri sana waimbaji wote wamesimama kuupamba na wapiga vyomba wote big up saanaa MASHUJAA kama jina lenu

    ReplyDelete
  3. Charlz jibaba kichwa kwelikweli, hawa ndiyo wasniii sio hawa fleva guys kila kukicha wanatuletea madudu ya kukopi toka nchi za watu na kusingizia kuwa ni muziki wetu. Sick of them.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...