Home
Unlabelled
mashujaa musica band - "kwa mkweo"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh hawa jamaa kweli ni wakali video iko sawa ujumbe mzuri,masauti yametulia,hongerza charlz baba,kiwango kimekuwa kwa kweli
ReplyDeleteMimi namfurahia sana Charls Baba anacho kipaji kikubwa sana huu wimbo una melody nzuri sana waimbaji wote wamesimama kuupamba na wapiga vyomba wote big up saanaa MASHUJAA kama jina lenu
ReplyDeleteCharlz jibaba kichwa kwelikweli, hawa ndiyo wasniii sio hawa fleva guys kila kukicha wanatuletea madudu ya kukopi toka nchi za watu na kusingizia kuwa ni muziki wetu. Sick of them.
ReplyDelete