Kikosi cha Timu ya Yanga.
 Kikosi cha Timu ya Zamaleck .
Moja ya hatari langoni mwa timu ya Yanga,ni dakika ya kumi na saba kuelekea kumi na nane na mchezo ni wa kasi na wenye kuvutia uwanjani hapa.hakuna timu iliyoweza kuona lango la mwenzake mpaka sasa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MASIKINI WABONGO MNAPENDA MPIRA LAKINI HAMUUWEZI...HAPO NDIO MWISHO WA YANGA.POROJO NYINGINE ZOZOTE NI ZAKUONGEZA MAPATO TU YA VIINGILIO ILI WATU WALAMBE MKWANJA MKUBWA ILA HATA WANAOHAMASISHA WANAJUA KABISA MAITI HAIWEZI KUPIGA CHAFYA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...