Meya wa manispaa ya Ilala Mstahiki Jerry Silaa (shati la buluu) akikagua miradi ya miundombinu iliyoathiriwa na mafuriko, jumla ya madaraja kumi ya ukubwa tofauti yamejengwa maeneo mbalimbali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mbona ndo mwanzo mafuriko yanakuja tena!

    ReplyDelete
  2. Wakati maji yalipokuwa juu ya Madirisha na Mapaa ya Nyumba Desemba 2011,,,Mhe. Mchagga alikuwa mbali Maili mia!

    Sasa ndio amesogea karibu kuangalia athari ya Maafa, au atajitetea kuwa ni vile Mchagga hana Bahari au asili ya maji kwao?

    ReplyDelete
  3. Duhhh Masikini wee Mzee wa Watu wa Mtaa wa Makutano ya Mtaa wa Twiga na Sikukuu walimtosa!.

    Mzee wa watu angepigana ktk maji na watu wake hadi mwisho.

    Oneni sasa bei ya Fitina na Mipango mmempata BIG BROTHER!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...