MAREHEMU MZEE GEORGE FREDRICK MBOWE
Familia ya Bwana na Bibi George Mbowe wa Msasani, Dar es Salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Mzee George Fredrick Mbowe kilichotokea usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Msasani, Dar es Salaam.


Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Plot. No. 94, Msasani, Old Bagamoyo Road karibu na nyumbani kwa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi.


Misa ya kumuaga marehemu itafanyika Ijumaa saa nane mchane katika kanisa la Anglican St Alban. Heshima za mwisho zitatolewa pia nyumbani siku ya Ijumaa saa 12 jioni.

 Mazishi yatafanyika Dodoma siku ya Jumapili saa kumi jioni.

MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Poleni sana wanafamilia. Mungu awape nguvu wanafamilia. Nilikutana na Mzee Mbowe kanisani St. Albans mwaka 2009. Nimesikitika sana kusikia kuwa amefariki.

    REST IN ETERNAL PEACE!

    ReplyDelete
  2. Rest in peace mzee wetu, you were a nice person

    ReplyDelete
  3. Poleni sana. Nakumbuka nilisoma na mtoto wa marehemu aitwaye Moreen Jangwani kuanzia 1980 mpaka 1984

    ReplyDelete
  4. jamani huyu mzee alikuwa jirani yangu sea-view upanga si ni baba wa philimon mbowe mp.au ni wanaundugu rest in peace mzee wetu jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...