SERENGETI FREIGHT FORWARDERS
WAZEE WA KAZI 
LETE MZIGO WAKO TUTAUFIKISHA MPAKA SEBULENI KWAKO DAR!
KUTUMA DOCUMENTS BY DHL £25 
KWA WALIO TANZANIA TUNA SUPPLY VITU VIFUATAVYO KWA BEI YA JUMLA KUTOKA UK KWA BIASHARA
USED TESTED FRIDGES FROM   £15
USED TESTED TV's FROM   £10
USED TESTED COMPUTERS (with flat screen)FROM    £60
PHOTOCOPY MACHINES FROM   £200
USED BICYCLES FROM    £12
USED TESTED WASHING MACHINES FROM £25
USED TESTED LAPTOPS (1gb RAM 80gb storage) FROM £65
TUNACHUKUA ODA ZA JUMLA TU KWA EXPORT NA PIA TUNAVYO VITU VINGI SANA KAMA VILE PASI, BLENDERS, NK
 
SIO LAZIMA UWE NA MTAJI MKUBWA KUNUNUA KUTOKA UK!
HATA FRIDGE KUMI TUTAKUNULIA NA KUKULETEA MPAKA DUKANI KWAKO. SIO LAZIMA UFUNGE SAFARI
PIA KAMA UNATAKA KUNUNUA MAGARI AU MASHINE ZOZOTE HAPA UK SIE TUNAWEZA KUKUSAIDIA KUNUNUA NA KUKUSAFIRISHIA MPAKA NYUMBANI
NUNUA GARI KWA DEALER YOYOTE UK TUTALIFUATA, TUTALIKAGUA NA KULISAFIRISHA MPAKA NYUMBANI
FROM TILBURY 
NEXT VESSEL SAILS 18/03/2012 CUT OFF 15/03/2012
FROM SHEERNESS
NEXT VESSEL SAILS ON 01/03/2012 CUT OFF 29/02/2012
SEA  CARGO/VIFURUSHI MPAKA DAR AT £2.20 PER KILO INCLUSIVE CUSTOMS CLEARANCE
CHUKUA MZIGO WAKO  OFISINI KWETU MAGOMENI DAR
NO 4 MTAA WA MWINYIMKUU
TEL             00255 22 5000002        
kama unataka kuagiza kitu au kufanya booking yoyote tutumie email au tupigie kwenye namba zifuatazo;

CHRIS LUKOSI             +44 07903828119        & 07404279633 
SIMON LOUIS (MOHSIN)             +44 07950689243      
HASSAN (RICHARD)             +44 07405159255      
HQ -  UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
Tell             (+44) 01375 855917        Fax (+44) 0

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani hebu mjitahidi ku design tangazo zuri.. kama mnajigamba kuwa mnafanya kazi za kimataifa halafu matangazo yenu ndiyo haya.. nadhani grahic design ni rahisi tu.. au michuzi wasaidie... angalau tuvutiwe basi..

    ReplyDelete
  2. WAZEE WA KAZI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...