Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bibi Lilly Munanka akizungumza kwenye ghafla ijulikanayo kama inter Party inayoandaliwa kila mwaka na mojawapo ya Taasisi zinayojishughulisha na Maendeleo ya Jamii Tanzania
(Friends of Tanzania) iliyofanyika tarehe 4.02.2012 huko Virginia.
 Baadhi ya wanachama wa Taasisi ya Friends of Tanzania na wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Kaimu Balozi kwenye hafla hiyo iliyofanyika Virginia
Kaimu Balozi akimshukuru Mwenyekiti wa Friends of Tanzania Bibi Patricia Kelly (kushoto)  kwa kuandaa hafla hiyo na kwa kazi ya kujitolea kwa ajili ya kuendeleza jamii mbalimbali nchini Tanzania. Picha na Mdau Mindi Kasiga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. I might a color blind that's look purple color not the blue one.

    ReplyDelete
  2. you are right look like purple!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...