Mwanaharakati Hoyce Temu katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Wabunge.
Kwa habari kamili na mapicha kibao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mimi binafsi nalikubali tangazo hilo kumbuka kuwa mila na desturi zetu zipo palepale hakuna haja ya kuzipindisha mambo ya wazungu tuwaachie wenyewe utamaduni tuliojiwekeea wafrika hautakiwi kupindisha kaptula ni kaptula tu wala huwezi kuibadilisha iwe suruali ifike gotini bado itaitwa kaptula naupongeza sana uongozi RITA shikilieni uzi huohuo mungu awabariki sana

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Hoyce. Usichoke kupigania Haki za watoto na wanawake. I hope you are not into politics as it will destroy your career! I know you! You are an activist not a parliamentarian! Kilauea la kheri Mrembo!

    ReplyDelete
  3. ¨Hongera sanaaa Hoyce Temu endeleza harakati zako, kwangu mimi wewe ni MISS TANZANIA wa ukweli.
    Nahisi hata hivi sasa tunahitaji tukupe Umiss tena.
    Kazi zako, heshima zako ni vitu vya kuigwa.KEEP IT UP HOYCE

    ReplyDelete
  4. Hongera Hoyce!

    Jitihada zako zinaonekana kila siku kwa kazi zako, ingawa huwa unakutana na vizingiti kama yaliyokukuta pale UDSM!

    MUNGU ATAKUSAIDIA KWA NIA YAKO NJEMA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...