Sala Kuu: MOSHI: Mungu Onesha Sehemu HelaIko
Viitikio:
1.                       Hata Ikipungua Mungu Ongeza! (HIMO)
2.                       Mungu Angalia RAia NGawira Utuhakikishie! (MARANGU)
3.                       Mungu Ahidi Mapesa Bila Ajira! (MAMBA)
4.                       Mungu Wekeza Ishara Kwenye Akaunti! (MWIKA)
5.                       Kristu Imarisha Leo Elimu na Mapesa Akauntini! (KILEMA)
6.                       Kristu Imarisha Riziki Ujaze Akaunti! (KIRUA)
7.                       Usitunyime Riziki Uchumi! (URU)
8.                       Kila Ikipungua Baba Ondoa Siasa Hela Ongeza! (KIBOSHO(By the way, Wakibosho si wanasiasa!!)
9.                       Mungu Atupe Chanzo Halisi na Ambacho Mapesa niEndelevu!( MACHAME)
NA
10.              Kwetu Ikikosekana SHIlingi MUngu Nakuapia DuniaUtaichukia! (KISHIMUNDU)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Wachaga kwa hela ni noma, bonge la SALA.

    ReplyDelete
  2. old moshi??

    ReplyDelete
  3. Umejuaje Mdau tena kule kwetu aiseeee Old Moshi wapiiiiiiii!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...