With the recent creation of a new Department of International Cooperation and Zanzibar Diaspora (DICZD) in Zanzibar, under the Ministry of State in the President's and Chairman of the Revolutionary Council's Office, Zanzibaris living in Canada have just formed an association of their Diaspora called Zanzibar-Canadian Diaspora Association (ZACADIA). 

This is a result of the political reconciliation which recently took place in the country and indeed is a clear manifestation that the Revolutionary Government of Zanzibar has realized that Zanzibaris living abroad can contribute immensely towards the progress of their country as have other people of other countries. 

This realization will be meaningful only if it is accompanied by a desire and a willingness of all Zanzibaris living abroad to come together in unison with their meager resources and form a formidable task force that would gear ahead and fast-track the socio-economic changes that for decades we Zanzibaris have been cherishing and longing for our motherland. 

ZACADIA’s main objective is to foster, promote, encourage, facilitate and coordinate help for Zanzibar and act as a bridge between Zanzibaris living in Canada and our homeland.

Little is known today in Canada about Zanzibar and therefore the aim of ZACADIA is to provide latest information about Zanzibar to prospective investors, traders, business people, tourist and to all Canadians who originate from Zanzibar. In addition, Zacadia seeks to bring together Zanzibaris scattered over the vast land of Canada and then un-cover their concealed and un-tapped potentialities for the betterment of our country.

We have direct links to some important institutions in Zanzibar. We help Zanzibaris in the Diaspora to open foreign currency accounts in the People’s Bank of Zanzibar – the bank that is the first choice of all Zanzibaris. As they say,….People’s Bank…..People’s Choice!

Most importantly, we have our representatives back home who assess Community needs in Zanzibar and Pemba and then here in Canada we identify ways to meet those needs through our Department of Non-Profit Organization.

However, the task of pushing Zanzibar ahead cannot be accomplished by one person or by a small group alone. Thus, if you are a Zanzibari living in Canada, please, join hands with ZACADIA in our efforts to extricate and rescue our country from a socio-economic quagmire in which it is now wallowing.

ZACADIA craves to work hand in gloves with all Zanzibaris wherever they are towards the removal of the crippling power cuts in Zanzibar, strengthening of the fragile economy and eradication of abject poverty throughout the Isles.
We know that it can be done. Let us all play our parts.
Thank you!
ZACADIA, Toronto, Canada 
(Dept of Worldwide Communication),
zacadiaw@gmail.com; 1.647.404.8618 begin_of_the_skype_highlighting            1.647.404.8618      end_of_the_skype_highlighting

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Safi hiyo na inapendeza.

    ReplyDelete
  2. Wazanzibari huko Canada na popote mlipo,

    Fanyeni mtakavyo fanya ila mkumbuke thamani ya Muungano na Mapinduzi kwa neema zake, kwa vile pana baadhi yenu wanaubeza Muungano na Mapinduzi.

    1.Mara nyingi mkataa pema pabaya pana mwita!

    2.Mdai talaka akiachika inafikia muda anakumbuka neema aliyo iacha akiwa kwenye Ndoa!

    3.Anaye lilia Chai akipewa inaweza kutokea akalalamika Chai ni ya moto anaungua!

    ReplyDelete
  3. Wewe mchangiaji wa hapo juu, wacha fikra za kitoto hizo. Wacha Muungano uvujike tugawane mabo tuone nani ataharibikiwa. Sisi Wazanzibari hatuutaki huo Muungano kiini maco wenu. Unganeni na Burundi na Rwanda muunde nchi mpya TABURU.

    ReplyDelete
  4. Anonymous wa 3 Tue Feb 21, 03:10:00PM 2012

    Unganeni na Burundi Rwanda muunde nchi mpya TABURU.

    Wewe Mgongo wazi,Ndala Mkononi na Kinywa wazi huwezi kutambua neema na faida za Muungano!

    Viongozi wenu wa Kitaifa wa CUF na CCM wanajua siri hii ya Faida na Neema za MUUNGANO ,Mtu ataona Muungano haufai akiwa hana Madaraka kama wewe, ndio maana hata siku moja huwezi kusikia hata huyo Maalim akidai kuvunja Muungano!

    Zaidi ya hapo wewe utakuwa ,UNA NJAA ZAKO ni MKIMBIZI upo nje ya nchi unahangaika kuomba Ukimbizi unanyimwa na huna taarifa za maendeleo yanayojiri Visiwani Zanzibar!

    ReplyDelete
  5. Anonymous wa Tue Feb 21, 03:10:00 PM 2012

    Nyie mabaharia Mliokwama Ugenini mna tabu sana!

    Wewe MUUNGANO NI NDOA YA MKEKA HAINA MSHENGA HIVYO TALAKA HAINA!

    KAA UKIJUA WEWE HUNA UWEZO WA KUVUNJA MUUNGANO!

    MAONI HAYO HAPO JUU NDIO YANAKUFAA:

    1.Mkataa pema pabaya Panamwita.
    2.Mdai atalaka akiachwa hukumbuka neema aliyoiacha ktk ndoa.
    3.Mlilia Chai hulalamika anaungua.

    MUUNGANO DAIMA!

    ReplyDelete
  6. Majuto Mjukuu,

    Mchangiaji wa 3 Tue Feb 21, 03:10:00 PM 2012

    BAADA YA KUVUNJWA MUUNGANO MTA CHEMSHA MAWE!

    Wacha mchezo, hadi nyanya ,vitunguu ,pilipili hoho na nyama za mbuzi mna import kutoka Bara halafu pyee hatuutaki Muungano!

    Bara hatukatai tunapata some of spices kutokea Visiwani kama Karafuu na vinginevyo, ni ukweli usio finchika Duniani tuna tegemeana.

    Dunia inatafuta Kuungana ili kufaidika na Ushirikiano na ili kutatua Matatizo yao kwa pamoja ,ISIPOKUWA KWA wasio na akili kama wewe unaona KUVUNJA MUUNGANO NDIO BUSARA!

    AKILI YAKO NI FINYU!

    ReplyDelete
  7. Wewe Mjinga hapo juu...Unganeni na Burundi na Rwanda muunde nchi mpya TABURU.

    Wewe na wenzio mliokwama safarini mara zote huilaumu Serikali badala ya kutatua matatizo yenu kwa kufanya kazi kwa Bidii huko mliko.

    Fanya moja ya yasjitihada kama hizi:
    1.Beba zege ,kazi za nguvu uchange pesa nauli ya kurudi Tanzania.
    2.Toa Taarifa Ubalozi wa Tanzania kuwa umeharibikiwa na Safari ili usaidiwe.
    3.Toa Taarifa Serikali ya nchi uliyopo ili upigwe 'REPATRIATION' kurudishwa nyumbani Tanzania.

    SERIKALI ZETU HUKU , ILE YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR NA ILE YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HAZINA PESA ZA KUHUDUMIA WAJINGA KAMA WEWE...PESA ILIYOPO NI KWA MAENDELEO YA NCHI NA WANANCHI!

    ReplyDelete
  8. Wewe TABURU hapo juu,

    Unalalamika Muungano huutaki ni wewe tu!

    ACHA UVIVU NA UMWINYI KWA:

    1.Kuchukua ngalawa na nyavu ukavue samaki Ras Nungwi.
    2.Kuchukua jembe ukalime Karafuu.
    3.Kuvaa gunia mgongoni na kwenda Bandarini Zanzibar ukabebe mizigo.

    SERIKALI HAIWEZI KUKUPA HELA YA KULA MKONONI ILA INAJENGA MAZINGIRA YA WEWE KUFANYA KAZI HIZO 3 HAPO JUU ILI UPATE KULA.

    NJAA YAKO INATOKANA NA UZEMBE NA UVIVU WAKO HATA KAMA MUUNGANO UKIVUNJIKA HAUKUSAIDII KUPONA NJAA YAKO, NDIO KWANZA ITAZIDI.

    ACHA KUSHINDA JUU YA MKEKA UKICHEZA BAO NA BAADAE UNA LALAMIKA HUITAKI SERIKALI NA MUUNGANO!

    ReplyDelete
  9. Hahaha Mdau wa tatu umeula wa CHUYA ,,,,MUUNGANO ni NDOA YA JINSIA MOJA HAINA TALAKA!

    ReplyDelete
  10. ...Sisi Wazanzibar hatuutaki huo Muungano...TABURU.

    Wewe njaa inakusumbua ukipewa kula MUUNGANO utaukubali na pia MAPINDUZI utasema DAIMAAAAA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...