Bango la kampuni ya Tan Discovery likiwa katika eneo la uzinduzi wa kituo cha London, katika wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, ambacho kitakodisha na kukopesha wachimbaji wadogo, vifaa vya kuchimba dhahabu.
Waziri wa madini na nishati, William Maganga Ngeleja akikata utepe wa kuzindua kituo hicho, leo jumamosi, kushoto kwake ni mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Tan Discovery inayokodisha na kukopesha vifaa vya uchimbaji wadini kwa wachimbaji wadogo nchini, Bw. Rogers Sezinga, kulia kwake ni mwakilishi wa mkuu mkoa Singida, Bw. Marando na diwani wa kata ya Makuru, Bw. Matonya.
Mkurugenzi wa kampuni ya Tan Discovery, inayokodisha na kukopesha vifaa vya uchimbaji madini ya dhahabu, Bw. Rogers Sezinga
Baadhi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu,machimbo ya London, wilayani Manyoni wakimsikiliza Ngeleja.
Waziri Ngeleja akizungumza na wachimbaji wa dhahabu katika kijiji cha London, wilayani Manyoni-
Picha na Elisante John.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...