MFALME wa Rhymes nchini Seleman Msindi 'Afande Sele' ameweka wazi mpango wake wa kugombea ubunge katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Akizingumza hivi karibuni Sele alisema ameamua kugombea ili kuweza kuwatetea wanyonge ambao wamekosa watetezi bungeni.
Hata hivyo Msindi ambaye amekuwa akiimba nyimbo zenye 'mguso' kwa jamii zikiwemo 'Mtazamo' aliowashirikisha Solo Thang na Prof.J, Karata Dume na nyinginezo hakuweka wazi kuwa atasimama kwa tiketi ya chama gani. Chanzo ni Dina Ismail BOFYA HAPA
Jamani tusiige kunya kwa Tembo - SUGU
ReplyDeleteWELL!. na mie ntagombea urais 2015. huu ushakua utani sasa
ReplyDeleteSawa Afande kwa kurusha kete yako kwenye Uheshimiwa kunako 2015.
ReplyDeleteKisanaa ulitoa kitu chako Msumari sana 'Matazmo' je Kiitikadi utatupa kwa uchache utakuwa ni wa upende gani kama mwenzio Sugu ni Chadema wewe je ?
Wenzako wameweza... wewe ushindiwe nini? Ingia ulingoni kura zetu zinakungoja.
ReplyDeleteYaani Sugu ni tembo au? kwani SUgu aweze ana nini na Afande Sele ashindwe ana nini? Mpeni nafasi bwana!!!
ReplyDeleteCHADEMA
ReplyDeleteKaka afande mie nakushauri uendelee kuimba tuendelee kuifaidi sauti yako murua. Kuna graduates kibao wapo kitaa ambao nawashauri wajiingize kwenye siasa baada ya kuachia waongozwe. Wasanii ambao ni wabunge kwa sasa hawatakuwa na nafasi 2015, hivyo komaa kwenye fani mzazi.
ReplyDeleteJimbo gani? Kupitia tiketi ya chama kipi?
ReplyDeletemm nahmini ww utakuwa mshindi na usibadili mawazo kk maisha ni kujipanga akuna haliyehandikiwa kuwa uyu au hawa ndo watakuwa wanasiasa
ReplyDeleteKwanza ondoa Uchafu huo hapo juu kichwani ndio uongee na wastaarabu,unadhani wanyonge wanatetewa kwa nguvu ya Kijiti? Wewe unaeuliza "Kama Sugu aliweza kwanini Afande ashindwe" jiulize status ya wapiga kura kwanza unadhani wanashindwa kimama mama? majimbo mengine hata uweke jiwe ukalivalisha tambara la kijani watalipigia kura, wewe afande utaendelea kuwa afande tu, umeshindwa kutuwakilisha kwenye mziki unabaki kugombana na kuwatolea wanamziki wenzio maneno ya kashfa kwenye vinyimbo vyako unadhani utaweza kutuwasilisha katika siasa? alafu unajiita "Rastaman" rastaman gani hujui nini maana ya neno "Amani"? Endelea na kijiti chako baba hizo waachie wenye uwezo wao mkubwa!
ReplyDeleteHebu muangalie kwanza huyu jamaa,!!!utamuwakilisa nani na hiyo mi rasta yako michafu wewe???nyimbo zako za ovyo ovyo ndiyo zina kupa hope???Ndugu kabla hujajaribu ,umeshashindwa usijidanganye utapoteza muda wako bure!kwanza kwa tiketi ya chama gani???tehe tehee at mfalme Sulemani wa pili kwenda zako huko!!!
ReplyDelete