Home
Unlabelled
libeneke la gazeti jipya la tiba asilia laingia mtaani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dah! Kazi ipo sasa.
ReplyDeleteNaachie ngazi ya Urais. Waafrika imekuwa kioja kila mganga adai kuoteshwa, wakati wazungu na jamii nyengine hutangaza tabibu zao baada ya tafiti makini.
ReplyDeletehivi ni kweli?? nani aliyetumia atuthibitishie kapona???? jamani tumechoka na hizi dawa ambazo watu wanaoteshwa kila siku.. Sawa we are inneed ila kuna ukweli wowote tufunge safari au ndo kwenda kujaribu bahati????
ReplyDeletepls anayefahamu chochote atujuze
yaani wee acha tu si ya kusema mpka rais wa Gambia kisha kuwa sangoma sijui itakuwaje sasa. KAMA UCHAWI UPO KWA NINI MUSIUWEKE HADHARANI VIZAZI VIJIFUNZE TEKNOLOJIA ZA SIRI ILI TUWASHINDE WAZUNGU? kwa nini watu wanadedi deile kama mnaweza kutibu mpaka ukimwi na kansa, jamaniii!!!!!
ReplyDeletewabongo kwa matangazo ... hawajambo.
ReplyDelete