
Nassari akiwa karibu na helkopta,usafiri anaoutumia kwenye kampeni zake.Anafanya mikutano mitano hadi sita kwa siku

Mwenyekiti wa Chadema, Mbunge wa Hai na Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh.Freeman Mbowe akimuombea kura Nasari

Mzee maarufu wa CCM aliyerejesha kadi na kujiunga CHADEMA akimnadi Joshua Nassari

Mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la arumeru mashariki(Chadema) Joshua Nassari akiomba kura katika kijiji cha Nshupu jana


Mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la arumeru mashariki(Chadema) Joshua Nasari akisalimia watu baada ya mkutano

Nasari(katikati) akisindikizwa kwenye helkopta.Kushoto ni Kamanda Renatus Mrashani katibu wa CHADEMA mkoa wa Dar es salaam,na kulia ni kamanda Jackson Makala.
Picha na Jacson W. Makala-Arumeru
tehe tehe!
ReplyDeletebwana jackson Makala naona uhandisi umeamua uuweke pembeni..........kweli siasa sio mchezo.najua apo 2015 kuna kajimbo ushakaona mahali na tunajua harakati zako lazima ukamate jimbo...all in all wana Coet udsm 2005-2009 tunakutakia kila la heri...wewe ni mpiganaji baba T...
mdau ECSE TE enzi izo..
Ghrama za Helikopta Chadema zitawapa hasara kwa vile hamtashinda Ubunge na itawabidi muandae mjaze fomu za Mkopo wa SACCOS kabla ya Uchaguzi ili kulipa deni hilo na mapema !
ReplyDeleteMchaka mchaka oyaa
ReplyDeletekyadema mnapoteza pesa na muda wenu bure hapa Arumeru Mashariki. Hamtaambulia chochote hapa. Wameru na Wamasai tuna falsafa ya udugu kwa wote na sio udini na ukabila wenu. Hata hao wachungaji (mapentekoste) wanaowakampenia baada ya kupokea 'chochote' kutoka kwenu, watampigia kura Nd Sioi Sumari wa CCM.
ReplyDeleteKufa Kufaana !
ReplyDeleteKama ndio hivi hata na mimi kwa nini Siasa nisiitake?
Ama kweli Chama kinafilisika kwa Gharama za kukodi Helikopta wakati wakijua watashindwa tu Uchaguzi, huku dogo anatabasamu picha ya kwanza juu kwa kupanda Helikopta kwa mara ya kwanza tokea azaliwe !
Kutembelea helkopta ni gharama hasa katika kazi hii ya kuomba kura. Sidhani kama ombaomba wa kura kwa helkopta atarejea tena kutekeleza alichoahidi kwa kuwa ni nadra sana mtu kama huyo kuyajua matatizo ya wapiga kura. Ole wenu wapigakura mtakaofanya ajizi siku ya uchaguzi.
ReplyDeleteUJIKO TOSHA, KUPANDA HELIKOPTA:
ReplyDeleteDogo Joshua baada ya kushindwa ktk Uchaguzi 'Mtaji' atakaonufaika nao ni kuzitumia picha alizokuwa amepanda Helikopta kuwashawishi Wakwe watarajiwa kupata Mchumba na kuoa mke Kijijini !
Kutokujua tu, hiyo Helicopta ni mali ya Ndesapesa ambayo ameitoa itumike kwa CHADEMA, wanachofanya ni kuiwekea mafuta tu.
ReplyDeleteMdau CHADEMA.
uuwiiiii, mzee maarufu wa CCM, hana jina? mbona yule bi mkubwa Anna amesomeka, huyo mzee umaarufu wake nini? angeonesha japo kadi kama yule mama basi. Chadema Hamna kitu Arumeru
ReplyDeleteChadema Dume jamani tukubali tu! kimewafanya mawaziri,wabunge, na wana CCM woooote maarufu kuhamia Arumeru kupambana na vidume SITA tu wa CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteWaheshimiwa jinsi mnavyotumia usafiri Kama huu hayo matatizo ya wananchi mutayaona kweli?ukiulizwa barabara iyendayo huko kijijini ikoje utasemaje?au umeona vyanzo vingapi vya maji mpaka hapo kijijini utawaeleza nini?wapiga kura wako musikimbilie kufanya mikutano mingi tu kwa siku hiyo haimsaidii kitu mwananchi kwani kufanya hivyo ni kudhihirisha wazi unapita na kuwaongopea tu Kama wanavyofanya wanasiasa wenzio musituburuze WaTanzania.
ReplyDeleteKampeni kwa Helikopta wakati Wananchi wapo aridhini wapi na wapi?
ReplyDeleteHivi huyo Mshindi wa Uchaguzi kwa Kampeni za angani atakapotangazwa Mshindi si atapotelea mawinguni kabisa asitue tena nchi kavu ?
Wananchi wa Arumeru huko si ndio kuachwa na Mbunge huko kwenyewe,,,zindukeni NG'O MSIWAPE KURA CHADEMA !!!
CHADEMA KUAZIMWA HELIKOPTA NA NDESAMBURO:
ReplyDeleteMdau Anonymous wa Thu Mar 29, 12:26:00 PM 2012
Sasa kama ukweli ndio huo Helikopta ni ya Chama kuazimwa je Ari hiyo itaendelea hadi Joshua akiwa Mbunge au inaishia ktk Kampeni za Uchaguzi?
Kama Chama hakina uwezo wa Kukodi Helikopta hadi kiazimwe pana uhakika gani kinajiweza kifedha kama sio kujikakamua tu,,,inaonyesha Uchaguzi uliopita wa Jimbo la Igunga uliwafilisi visivyo kawaida au ndio kufilisika kwenyewe Kichama (Kisiasa na Kifedha)?
HAMNA LOLOTE KAMA NDIO HIVYO!!!
Chadema ama kweli MUNGU HULIPA :
ReplyDeleteMadhambi ya kuendesha Siasa za Udini mnaona sasa Chama kimefilisika ?
Kwa kweli hapo kabla hamkuwa Masikini ki hivyo, mlikuwa angalau mnakodi wenyewe Helikopta badala ya kuazimwa na ninyi kujaza mafuta kama mlivyo sasa !
ivi ni kweri ndugu zangu munaotoa maoni ya kuwa uyo mgombea ubunge kupitia chama cha chadema anatumia iyo elkopta kuwa ataonaje matatizo ya wana nchi wake kwan yy ni mzaliwa wa mkoa gani alikuwa anaishi wpi maisha yke yte na ninani amewahambia kuwa akiwa uko angani haoni chini wabunge wangapi walitumia magari na baiskel wakati wa kampeni na adi leo hawajatatua matatizo ya wana nchi wao acheni wivu na majungu
ReplyDeleteHivi mlitaka watumie magari ya Serikali? kinachowashangaza ni nini kwani CCM haijawahi kutumia helicopter kwenye campaign zao. kweli Tanzania itajengwa na wenye moyo. Tunazidi kuomba mfunguke macho ili tupate viongozi wanaojali nchi sio mali za nchi mifukoni mwao.
ReplyDeleteWachangiaji wengi ni wapumbavu sana. Lazima hapa kwanza kuangalia kipindi cha kampeni, na idadi ya mikutano anayotakiwa kufanya mgombea kwa siku. Kwani mnataka kusema kuwa hata baada ya uchaguzi, kama atashinda, ataendelea kusafiria helkopita awapo jimboni? Hiki kwani ndo kipindi cha kujua kero za wananchi ili aende kuziwasilisha bungeni? Kwani ni mbunge tayari? Mnaosema kuwa hiyo ilikuwa mara yake ya kwanza kupanda helkopita, je hamjui kuwa alitoka majuu kuja kugombea ubunge? Bakini usingizini, wenye macho tunaona, na tunazidi kusonga. Siku mtakayokuja kuzinduka, tutakuwa kilomita 10000 mbele yenu.
ReplyDeletehIVI cHADEMA MNAAKILI KWELI MNADHANI MTOTO HUYO ATASHINDA, SUBIRI MSAGE MENO MATOKEO YATAKAPOTANGAZWA, SIWAPENDI KWA SERA ZENU ZA KUKATA WATU, KUPIGA WATU NA KUZOMEA WATU NA VIJANA WENU AMBAO HAWAJAJIANDIKISHA
ReplyDeletewewe annony. wa 02.57 wewe ni TUTUSA kweli kweli! sijui utaamka lini ktk usingizi uliolala tena huna tofauti na MFU! Sioi sio mtoto? Akili za Nassari zinashinda za UKOO wenu wote
ReplyDeleteCHADEMA:
ReplyDeleteMnachemsha mawe !,,,hadi sasa mmeshaanguka ktk Uchaguzi kwa kuwa mnatumia Helikopta wakati mnajua Sera zenu mnadai kuwa Mbunge aliyekuwepo hapo kabla hajafanya kitu.
Sasa badala ya ninyi kutumia hayo mafuta yenu ya kujikakamua kujaza ktk Helikopta ya kuazimwa na Kada wenu wa Chama, sasa hiyo hela ya mafuta ya kuchanga si ndio mngetumia kurekebishia hayo mapungufu mnayodai katika Majukwaa ya Kampeni za Uchaguzi ili Mchaguliwe ?
HAPO CHADEMA MNATUSINDKIZA TU SISI WENYE RANGI ZA KIJANI NA NJANO!
ReplyDeleteHeee hela za mafuta ya Helikopta wabane ili wachangie maendeleo ?
ReplyDeleteKipaumbele ni kuweka Mtaji wa biashara ya kufanya baada ya Uchaguzi kuisha na kushindwa,,,kwa kubana matumizi ya mafuta ya Helikopta na sio maendeleo wa watu wa Arumeru Mashariki !
Bora Chadema tubane matumizi ya mafuta ya Helikoputa ili tukatoe Mchango Kanisani, badala ya kuchangia maendeleo ya watu wa Dini zote Arumeru Mashariki !
ReplyDeleteMchaka mchaka chinja !!!
ReplyDeleteJamaa mwenye Fulanazzz nyekundu na Jinsi picha ya chini kulia anakimbia mchaka mchaka wa Kushindwa kwa Chadema sio wa kushinda Uchaguzi,
Mchaka mchaka kama huo mjiandae kuufanya mkiandamana kupinga Matokeio ya Kushindwa !
janja yenu sisi kwisa jua !!!
Sisi sisiemu najua kyadema bana !!!
Mtabaki chadema na biashara za mbege vijijini hamshindi ng'o !!!
ReplyDeleteMungu katenda maajabu yake hata baada ya kutukanwa hivi http://www.youtube.com/watch?v=1lSaLItmj-c . Hongereni sana wanachadema.
ReplyDelete