
Banda la TTB lilivyokuwa likionekana wakati wa maonesho haya Bodi ua Utalii Tanzania iliratibu vyema maonesho ya utalii yaliyofanyika nchini ujerumani katika jiji la Berlin kuanzia tarehe 7 – 11 Machi 2012.

Baadhi ya wafanyabiashara za utalii toka Tanzania wakiuza bidhaa za Tanzania.

Baadhi ya wajumbe toka Tanzania wakiwa na baadhi ya waalikwa mbalimbali waliotembelea banda la Tanzania. Hapa wanaonekan baadhi ya washiriki.

Hawa ni washindi wa mashindano ya watu wenye mustachi yaandi ndeve ndefu zaidi duniani kama wanavyoonekana walipotembelea banda la Tanzania. Maonesho ya ITB ndio maonesho makubwa duniani yanayowakutanisha wafanya biashara za utalii duniani.Jumla ya makampuni 59 toka Tanzania ziliweza kuhudhuria kati ya hizi kampuni 31 zilikuwa ni zinazojihusisha na mahoteli (hotel, appartments), kampuni 24 zinazohudumia watalii (tour operatos) na kampuni nne, 39 ndege (Airline carriers).
watanganyika bwana utawajuwa tu matumbo makubwa mpaka ughaibuni wenyewe wanaona ndio mafanikio hayo kaazi kweli kweli nchi ya kina mgagajama.
ReplyDeleteHivi Tanzania TOURIST board? Au ni Tanzania TOURISM board kama mimi nijuavyo?? DUH!!!
ReplyDeletechiggs.